Hali ya Sekta ya Kahawa Tanzania Mkutano Mkuu wa Nane wa Wadau wa Kahawa Primus Kimaryo Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Kahawa Tanzania ID: 663204
Download Presentation The PPT/PDF document "Bodi ya K ahawa Tanzania" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.
Slide1
Bodi ya Kahawa Tanzania
Hali ya Sekta ya Kahawa TanzaniaMkutano Mkuu wa Nane wa Wadau wa KahawaPrimus KimaryoKaimu Mkurugenzi MkuuBodi ya Kahawa TanzaniaMei 2017Slide2
UtanguliziBodi
ya kahawa Imeundwa wa sheria na 23 ya mwaka 2001 kama ilivyorekebishwa na Sheria ya Mazao na 20 ya 2009Kazi ya Msingi, pamoja na majukumu mengine ni kusimamia sekta ndogo ya kahawa.Vile vile kuratibu majukumu shirikishi ya wadau wa
kahawa ambayo
ni;UzalishajiUtafitiUgani
Uendelezaji
masokoUbora wa kahawaUpatikanaji wa pembejeo, nk. Slide3
Jukumu la usimamizi wa sheria linatekelezwa na
Bodi kwa kugharamiwa na serikali kwa asilimia 100. Majukumu shirikishi (shared function) yanatekelezwa kwa kugharamiwa na wadau wote wakiwemo Halmashauri za Wilaya, mashirika binafsi, vyama vya ushirika, n.k.Ugharamiaji wa Shughuli za
BodiSlide4
Hali ya Uzalishaji Duniani
Uzalishaji duniani kwa msimu wa 15/16 ulifikia magunia milioni 151.624. Ongezeko la 0.186mnbKahawa duniani huingia sokoni katika makundi manne;Kundi la Aprili; uzalishaji magunia milioni 71.515Nchi za Rwanda, Burundi, BrazilKundi la Julai: Uzalishaji magunia milioni 1.855Nchi za Tanzania, DRC, Zambia, CubaKundi la Oktoba:
Uzalishaji magunia milioni
78.254Nchi za Kenya, UgandaSlide5
Uzalishaji Nchini
Mkoa/Mwaka2015/162016/17(2016/17)% 1
Arusha
2,353
1,764
3.8%
2
Iringa
58
5
0.01%
3
Kagera
24,443
20,023
42.6%4Katavi 2 2 0.00%5Kigoma 1,094 1,101 2.3%6Kilimanjaro 3,314 2,847 6.1%7Manyara 27 18 0.04%8Mara 670 517 1.10%9Mbeya 1,816 2,141 4.6%10Morogoro 7 9 0.02%11Mwanza 5 7 0.01%12Njombe 119 86 0.18%13Ruvuma 13,693 10,855 23.1%14Songwe 12,405 7,540 16.1%15Tanga 182 49 0.10% Total 60,188.0 46,963.5 100%Slide6
Hali ya Uzalishaji NchiniSlide7
Matarajio ya Uzalishaji 2017/18
Matarajio Msimu ujao 2017/18 uzalishaji utapungua hadi tani 43,000Slide8
Soko la Kahawa
Soko la kahawa la dunia ndio soko rejea kwa kahawa zinazozalishwa nchini (NYC/ICE)Slide9Slide10
Moshi Auction
World MarketSlide11
Bei ya Mkulima
Kutokana na mwendendo wa soko, wakulima waliouza wakati bei ni nzuri sokoni walipata wastani wa Shs 5,000Wastani wa bei kwa msimu ni shs 4,000kwa kahawa za ArabikaKwa kahawa za robusta wakuliwa walilipwa wastani wa Shs 1,400
kwa kilo ya Maganda
.Pamoja na bei
ya
kuridhisha iliyokuwepo sokoni baadhi ya wakulima hawakufaidika na bei
kwa
kuwa
wananunua
badala
ya kukusanya kwa wanachama na hivyo kutozingatia ubora na kushindwa kupata faida ya kuongeza thamani masoko ya juu.Slide12
Ubora wa KahawaSlide13
Mauzo na MapatoSlide14
Mgawanyo wa MauzoSlide15
Mtiririko wa BeiSlide16
Wauzaji
Mnadani: 2016/17Wanunuzi MnadaniWauzaji Direct Export
60%
87%Slide17
Nchi Zinazotumia Kahawa yetu
Masoko Mapya:India, Urusi, Afrika Kusini na AustraliaSoko la ndani ni asilimia 5 - 7Slide18
Mkakati wa Maendeleo ya
kahawa 2011/2021Mwaka 2011 wadau walipitisha mkakati wa miaka 10 wa maendeleo ya kahawaLengo kuu lilikuwa niKuongeza uzalishaji hadi kufikia tani 80,000 mwaka 2017 na tani 100,000 mwaka 2021Lengo hilo halijafikiwa Mkakati huu unafanyiwa marejeo ya
muda wa kati
na taarifa ya mshauri
mwelekezi
itawasilishwaKujua ni wapi tumejikwaa na tujipange upya Slide19
Changamoto za Uzalishaji
Bado tija ya uzalishaji ni ndogo inayosababishwa na matumizi kidogo ya pembejeo hususan mboleaKasi ndogo ya kupokea matokeo ya utafitiMabadiliko ya tabianchi yamesababisha mvua zisizo na mpangilioUwekezaji mdogo ikilinganishwa na malengo na mkakati
wa kahawa 2011-2021Slide20
Changamoto za
UboraVikundi na vyama vya wakulima vinanunua kahawa badala ya kukusanya kwa wanachama hivyo kushindwa kudhibiti ubora.Licha ya juhudi za Serikali kuwezesha wakulima CPU (ADSP), mashine nyingi hazifanyi kaziBiashara ya ‘magoma’ na ‘butura’
– kuuza kahawa
ikiwa bado shambaniSlide21
Changamoto za Masoko
Kuyumba kwa uzalishaji na ubora kunaathiri bei ya mkulimaSoko la mnada kumilikiwa na makampuni machache ya njeKupungua kwa kiasi cha kahawa kinachopelekwa mnadaniSlide22
Changamoto za Masoko..2
Soko la DE ambalo lilianzishwa kwa ajili ya kumsaidia mkulima kwa kuuza kahawa za ubora wa juu linatumiwa kwa kiasi kikubwa na makampuni yanayonunua kahawa vijijiniWengi wanaomba madaraja yote yaruhusiweDirisha hili sio mbadala wa Mnada.Vyama
vya ushirika
vimepata changamoto ya kutekeleza
mikataba
ya uuzaji nje ya nchiSlide23
Changamoto za Sekta
Ukusanyaji ushuruBodi inaingia mikataba na H/Shauri kukusanya ushuru baada ya kupata maombi kutoka wizara ya viwandaHalmashauri nyingi na baadhi ya mikoa imegawanyika na hivyo ugumu wa upatikanaji wa takwimuHalmashauri kutoa vibali vya
ununuzi vijijini
kama chanzo cha mapato na
hivyo
kuwa na utitiri wa wanunuzi Slide24
Changamoto za Sekta..2
Bado matumizi ya CPU yapo chiniUchanganyaji wa kahawa zenye ubora tofautiKutegemea soko la nje (>90%)Gharama za uongezaji thamani wa zao: kutokana na kuwa na
uzalishaji kidogo
na kwa
ubora
unaotofautiana mara kwa mara.Uwekezaji
kidogo
kwenye
uzalishaji
kutoka
taasiosi za fedhaSlide25
FURSA BADO IPO!
Uzalisaji kibiasharaKulima kisasaMaeneo ya uzalishajibKujikinga na BeiKuwakwamua wakulima na vyama vyaoKuongeza thamani ya zaoSoko la ndaniTanzania ya viwanda
Fursa ya
kuongeza ajira
na
kupambana na kuyumba kwa sokoKunufaika
na
kinywaji
cha
kahawa
Uwekezaji
wa
kutoshaHalmashauri ziwekeze kwenye kahawaKuwa na mpango kabambe wa kilimo cha kahawa Slide26
ASANTENI SANA
Kwa maelezo zaidi wasiliana na ;Mkurugenzi Mkuu,Bodi ya Kahawa TanzaniaBox 732,MoshiTanzaniainfo@coffeeboard.or.tz www.coffeeboard.or.tz