Download presentation
1 -

FOMU YA KIBALI YA KUTAMBUA JINA NA MAELEZO YA BINAFSI KWA WATU WENGINE


Jina Lako Jina la Shule au Asasi Nyingine Ambayo Umewasilisha Malalamishi Haya Dhidi Yake Fomu hii inauliza iwapo Ofisi ya Haki za Raia OCR inaweza kushiriki jina na maelezo yako mengine ya binaf

udeline's Recent Documents

2015 Edition Cures Update
2015 Edition Cures Update

1CertificationCompanionGuideUnitedStatesCoreDataforInteroperabilityUSCDI-45CFR170213Version13LastUpdated06-30-2021RevisionHistoryVersionDescriptionofChangeVersionDate10Initialpublication08-11-202011Pr

published 0K
Singapore Med J 2003 Vol 445  229230Medicine In Stamps
Singapore Med J 2003 Vol 445 229230Medicine In Stamps

Andreas Vesalius 1514-1564Father of Modern AnatomyS Y Tan MD JD and M E Yeow BM BChProfessor of MedicineAdjunct Professor of Law University of Hawaiior some 1500 years Galens teachingsas the foundatio

published 0K
Who can provide instruction in a special class certified special educa
Who can provide instruction in a special class certified special educa

182 Can teacher aide teaching assistant be the only service provided studentwith disability No teaching assistant teacher aide can assist the delivery of special education cannot provided the only spe

published 0K
31e Islamic State a30er the Caliphateby Truls Hallberg TnnessenAbstrac
31e Islamic State a30er the Caliphateby Truls Hallberg TnnessenAbstrac

2ISSN 2334-3745 February 2019Volume 13 Issue 13and indeed there are already signs of a resurgent Islamic State especially in Iraq6If we are to understand the cyclic process of rising and falling 151i

published 0K
Some psychosocial and cultural factors a review BEITHALLAHMI1Universi
Some psychosocial and cultural factors a review BEITHALLAHMI1Universi

270ers theconflict between and in and in 1970 major pro-majorconten-is of the Arabhave brought them to present 1970 the on of instruments withof the quite trying from empirical to the Arab position mo

published 0K
Technical data sheet
Technical data sheet

LMC230A-SDamper actuator for adjusting dampers in technical building installations149Air damper size up to approx149Torque motor149Nominal voltage149ControlTechnical dataElectrical dataNominal voltage

published 0K
71A101 0516Commonwealth of KentuckyDEPARTMENT OF REVENUEPlate Number
71A101 0516Commonwealth of KentuckyDEPARTMENT OF REVENUEPlate Number

RelationshipRelationshipPrinted NameRelationshipUnder penalties of perjury I and am stationed in Kentucky at on activemilitary duty under orders of the United States GovernmentService NumberSigna

published 0K
Removal Without RecourseThe Growth Of Summary Deportations From The Un
Removal Without RecourseThe Growth Of Summary Deportations From The Un

x0000x0000Removal Without RecourseThe Growth Of Summary Deportations From The United StatesAmerican Immigration Council2014Page of In Fiscal Year FY 2013 more than 70 percentof all people Immigration

published 0K
Download Section

Download - The PPT/PDF document "" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.


Document on Subject : "FOMU YA KIBALI YA KUTAMBUA JINA NA MAELEZO YA BINAFSI KWA WATU WENGINE"— Transcript:

1 FOMU YA KIBALI YA KUTAMBUA JINA NA MAELE
FOMU YA KIBALI YA KUTAMBUA JINA NA MAELEZO YA BINAFSI KWA WATU WENGINE(Tafadhali chapisha au charaza isipokuwa mstari wa sahihi) Jina Lako: Jina la Shule au Asasi Nyingine Ambayo Umewasilisha Malalamishi Haya Dhidi Yake: Fomu hii inauliza iwapo Ofisi ya Haki za Raia (OCR) inaweza kushiriki jina na maelezo yako mengine ya binafsi OCR inapoamua kuwa kufanya hivyo kutasaidia katika kuchunguza na kusuluhisha malalamishi yako. Kwa mfano, ili kuamua iwapo shule ilibagua mtu, mara nyingi OCR huhitaji kutambua jina la mtu huyo na maelezo ya binafsi kwa waajiriwa kwenye shule hiyo ili kuthibitisha ukweli au kupata maelezo ya ziada. OCR inapofanya hivyo, OCR inafahamisha waajiriwa kuwa aina zote za visasi dhidi ya mtu huyo na watu wengine wanaohusiana na mtu huyo ni marufuku. OCR inaweza pia kutambua jina la mtu au maelezo ya binafsi wakati wa mahojiano na mashahidi na ushauri kutoka kwa wataalam.Iwapo OCR hairuhusiwi kutambua jina lako au maelezo ya binafsi kama ilivyoelezwa hapo juu, OCR inaweza kuamua kufunga malalamishi yako iwapo OCR itaamua ni muhimu kufichua jina lako na au maelezo ya binafsi ili kusuluhisha ubaguzi dhidi yako. DOKEZOkiwasilisha malalamishi kwa OCR, OCR inaweza kutoa maelezo fulani kuhusu malalamishi yako kwenye vyombo vya habari au umma kwa jumla, likiwemo jina la shule au asasi; tarehe ambayo malalamishi yako yaliwasilishwa; aina ya ubaguzi uliojumuishwa katika malalamishi yako; tarehe ambayo malalamishi yako yalisuluhishwa, kuondolewa au kufungwa; sababu msingi kwa uamuzi wa OCR; au maelezo mengine husika. Maelezo yoyote ambayo OCR inatoa kwenye vyombo vya habari au umma kwa jumla hayatajumuisha jina lako au jina la mtu ambaye uliwasilisha malalamishi kwa niaba yake.DOKEZOOCR inakuhitaji kujibu maombi yake kwa maelezo. Kushindwa kushirikiana na shughuli za uchunguzina masuluhisho za OCR kunaweza kuchangia kufungwa kwa malalamishi yako.Tafadhali tia sahihi sehemu ya A au sehemu ya B (lakini si zote mbili) na urejeshe kwa OCR:Iwapo uliwasilisha malalamishi kwa niaba yako mwenyewe, unapaswa kutia sahihi fomu hii.Iwapo uliwasilisha malalamishi kwa niaba ya mtu mwengine, mtu huyo anapaswa kutia sahihi fomu hii.KIGHAIRIIwapo malalamishi yaliwasilishwa kwa niaba ya mtu maalum ambaye ni wa chini ya miaka 18 au mtu mzima asiye na uwezo kisheria, lazima fomu hii itiwe sahihi na mzazi au mlezi wa kisheria wa mtu huyo.Iwapo uliwasilisha malalamishi kwa niaba ya kundi la watu, badala ya mtu yeyote maalum, unapaswa kutia sahihifomu hii.A. Ninaipa OCR kibali changu kutambua utambulisho wangu (na ule wa mtoto wangu mchanga/wadi ambaye malalamishi yamewasilishwa kwa niaba yake) kwa wengine kwa shughuli zaidi za uchunguzi na utekelezaji za OCR. SahihiTarehe AU B. Siipi OCR kibali changu kutambua utambulisho wangu (na wa mtoto wangu mchanga/wadi ambaye malalamishi yamewasilishwa kwa niaba yake) kwa wengine. Ninaelewa kuwa OCR inaweza kufunga malalamishi yangu. SahihiTareheNinatangaza chini ya adhabu ya kusema uwongo kuwa ni kweli na sahihi kwamba mimi ndimi niliyetajwa hapo juu; na, iwapo malalamishi yamewasilishwa kwa niaba ya mtoto mchanga/wadi, mimi ndimimzazi/mlezi wa kisheria wa mtu huyo. Tamko hili linatumika tu kwenye utambulisho wa watu na halitumiki kwenye yoyote ya madai yaliyowasilishwa katika malalamishi.Imesasishwa Aprili 2014