/
UNAPOKUWA PEKE YAKO Somo la 4 UNAPOKUWA PEKE YAKO Somo la 4

UNAPOKUWA PEKE YAKO Somo la 4 - PowerPoint Presentation

beatever
beatever . @beatever
Follow
362 views
Uploaded On 2020-08-27

UNAPOKUWA PEKE YAKO Somo la 4 - PPT Presentation

kwa ajili ya Aprili 27 2019 Bwana Mungu akasema Si vema huyo mtu awe peke yake nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye Mwanzo ID: 805486

mtu kwa upweke katika kwa mtu katika upweke mungu mmoja peke kama kuwa kifo maisha kuachana bwana mwanzo hali

Share:

Link:

Embed:

Download Presentation from below link

Download The PPT/PDF document "UNAPOKUWA PEKE YAKO Somo la 4" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.


Presentation Transcript

Slide1

UNAPOKUWA PEKE YAKO

Somo la 4

kwa

ajili

ya

Aprili

27, 2019

Slide2

“Bwana

Mungu

akasema

, Si vema

huyo mtu

awe

peke

yake

,

nitamfanyia

msaidizi

wa

kufanana

naye

’ ”

(

Mwanzo

2:18)

Slide3

URAFIKI

UpwekeUpweke

wa kimwili

Upweke wa

kirohoUpweke usiopangwa

Kutarakiana

Kifo

“Si

vema huyo mtu awe peke yake” (Mwanzo 2:18). Tumeumbiwa ushirika na wengine. Hiyo ndiyo hali halisi.Hata hivyo, watu wengine huishi peke yao kwa sababu ya mazingira au wameamua kuwa hivyo.

Hebu tujifunze kile Biblia inasema kuhusu Ushirika na upweke.

Slide4

URAFIKI

“Afadhali

kuwa

wawili kuliko

mmoja; Maana

wapata

ijara

njema kwa kazi yao.” (Mhubiri 4:9)Sulemani anaeleza kwa nini tushiriki maisha yetu na mtu mwingine kwa njia ya ndoa ,na Mungu (“kamba ya nyuzi tatu haikatiki upesi.” (Mhubiri 4:12)).Kama mtu anatatizo , mwenzi wake anaweza kusaidia. Kama mmoja

amevunjika moyo mwingine anaweza kumtia moyo. Kwa pamoja wanaweza kutatua hali ambazo wasingeweza wakiwa

mmoja mmoja.

Hata katika

mahusiano yasiyo

ya kina kama

ndoa watu

wanahitaji urafiki

.

Lakini

mtu kuwa katikati ya miili hai hakumaanishi kwamba mtu hawezi kujisikia mpweke na kutengwa na kuwa mhitaji wa ushirika.

Slide5

UPWEKE WA KIMWILI

Lakini nawaambia

wale wasiooa

bado, na

wajane

, Ni heri

wakae kama mimi nilivyo.” (1 Wakorintho 7:8)Je; Paulo anapingana na ushauri wa Mungu unaotolewa katika Mwanzo 2:18?Paulo anatushangaza kwa kauli hii anapozungumzia maisha ya familia. Hata hivyo, anafafanua wazo hili haraka sana. : wale tu “wanaoweza kujizuia” (fg. 9). Yaani, wale waliopewa kipawa cha kutohitaji maisha ya ndoa.Kwa upande mwingine, waseja wanaweza kujikita kikamilifu kwenye

kazi ya Utume (fg. 32-33). Hivyo ndivyo Yeremia(kapera) na Ezekieli (mgane) walivyofanya.Maisha katika upweke haimaanishi kuwa peke yako kabisa. Yesu alisema: “walakini mimi si peke yangu, kwa kuwa Baba yupo pamoja nami.” (Yohana 16:32).

Slide6

UPWEKE WA KIROHO

“Kwa

sababu Muumba

wako ni mume

wako; Bwana wa

majeshi

ndilo jina lake;

na Mtakatifu wa Israeli ndiye Mkombozi wako; Yeye ataitwa Mungu wa dunia yote.” (Isaya 54:5)Mtu anakuwa peke yake kiroho ikiwa yeye na mwenzi wake hawana Imani moja. Itamlazimu kuishi maisha ya kiriho katika upweke.

Hawezi kuomba pamoja na mwenzi wake au kuhudhuria kanisani pamoja naye.

Ziko sababu

tatu zinazoweza

kusababisha

hali

hiyo:

Mtu

akimuoa

/

kuolewa na asiyeamini.Mtu anamkubali Yesu anapoolewa.Mwezi wa huyo mtu anapoacha

imani

.

Ni

muhimu

kuwasaidia

watu

hao

kwa

kuwapenda na kuwapa msaada wote tunaoweza, kama mtu mmoja mmoja na kama kanisa.

Slide7

KUTARAKIANA

“‘

Maana

mimi

nakuchukia kuachana,

asema

Bwana,

Mungu wa

Israeli; naye aifunikizaye nguo yake kwa udhalimu namchukia, asema Bwana wa majeshi; basi jihadharini roho zenu, msije mkatenda kwa hiana.’” (Malaki 2:16)Kuachana huvuruga mpango wa Mungu wa awali kwa ajili ya familia. Kwa sababu ya dhambi, Mungu ameruhusu ndoa kuvunjwa kwa mazingira maalum (mathayo 19:8; 5:31-32).Kuachana kunatengeneza hisia simanzi

, mfadhaiko, hasira na upweke.Biblia inatuhimiza kufanya kila linalowezekana kuepuka kuachana, kutafuta maafikiano katika upendo, msamaha na urejeshaji (Hosea 3:1-3; 1 Wakorintho 7:10-11; 13:4-7; Wagalatia 6:1).Kuachana kunapokuwa hakuepukiki, lazima kanisa lisaidie, lifariji na kutia moyo.

Slide8

KIFO

“Sara

akafa katika Kiriath-arba,

ndio Hebroni, katika

nchi ya Kanaani.

Ibrahimu

akaja kumlilia Sara na

kumwombolezea.” (Mwanzo 23:2)Kifo ni hakika kwa kila mmoja tangu Adamu na Hawa walipotenda dhambi hadi marejeo ya Yesu mara ya pili.Kwa hakika, kifo husababisha utengano usioepukika. Mwezi aliyesalia hugubikwa na upweke.Mungu ametupatia tumaini la kuonana na wapendwa wetu tena, nakuishi nao katika nchi mpya ambapo kifo hakitakuwepo (1 Wathesalonike 4:16-17; Ufunuo 21:4).Muda unaweza kuponya majeraha, lakini pengo hubaki.

Slide9

Vyovyote hali zetu ziwavyo, Kama tukiwa

watendaji wa neno, tunao

mwongozo wa kuongoza

njia zetu; Vyovyote kuwavyo

kuchanganyikiwa

kwetu, tunaye mshauri wa

hakika; vyovyote ziwavyo huzuni zetu, simazi, au upweke, tunaye Rafiki anayetuhurumia.”E.G.W. (The Ministry of Healing, cp. 18, p. 248)

Slide10

Yeye (Yesu) daima hutazama ili

kutoa, wakati inapohitajika zaidi

, baraka mpya na safi,

nguvu katika saa ya

udhaifu

,

kusaidia wakati wa hatari,

marafiki katika wakati wa upweke, huruma,wanadamu na mbingu, wakati wa huzuni. tunakuwa tumefungwa nyumbani. Yeye anayetupenda hata kufa kwa ajili yetu amejenga mji. Yerusalemu Mpya ni mahali petu pa kupumzika. Hakutakuwa na huzuni katika Jiji la Mungu. Hakuna kilio cha huzuni. Hakuna hofu ya matumaini yaliyoharibiwa na upendo uliozikwa uutasikika milele.”E.G.W. (Daughters of God, cp. 21, p. 224)

Related Contents


Next Show more