/
FUNGUO ZA UMOJA WA FAMILIA FUNGUO ZA UMOJA WA FAMILIA

FUNGUO ZA UMOJA WA FAMILIA - PowerPoint Presentation

conterc
conterc . @conterc
Follow
366 views
Uploaded On 2020-08-29

FUNGUO ZA UMOJA WA FAMILIA - PPT Presentation

Somo la 7 kwa ajili ya Mei 18 2019 Kudumisha umoja katika familia kunahitaji juhudi za kila mwanafamilia Familia itakuwa na umoja imara ID: 811486

katika kwa familia kristo kwa katika kristo familia kila kujitoa mungu upendo umoja kujishusha yesu unyenyekevu mmoja cha wala

Share:

Link:

Embed:

Download Presentation from below link

Download The PPT/PDF document "FUNGUO ZA UMOJA WA FAMILIA" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.


Presentation Transcript

Slide1

FUNGUO ZA UMOJA WA FAMILIA

Somo

la 7

kwa

ajili

ya

Mei 18, 2019

Slide2

Kudumisha

umoja

katika

familia

kunahitaji

juhudi

za

kila

mwanafamilia

.

Familia

itakuwa

na

umoja

imara

kama

kila

mwanafamilia

atakuwa

na

funguo

zifuatazo

:

Slide3

Hapana

Myahudi

wala

Myunani. Hapana mtumwa wala huru. Hapana mtu mume wala mtu mke. Maana ninyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu.” (Wagalatia 3:28)

Kuishi katika Kristo huleta mabadiliko ya kimwili katika maisha yetu (Warumi 6:22; 2 Wakorintho 5:17). Msalaba wa Kristo huondoa mipaka yote inayotenga watu.

YESU

Kwa

kadri

tunavyoishi

karibu

na

Yesu

,

ndivyo

tunavyokuwa

karibu

na

wengine

.

Hii

ni

kweli

pia

kwa

ngazi

ya

familia

.

Yesu

anapokuwa

kiini

cha

kila

moyo

wa

mwanafamilia

,

kuna

kuwa

umoja

kati

ya

mume

na

mke

,

kati

ya

wazazi

na

Watoto,

kati

ya

kaka

na

dada…

Slide4

Wapenzi

,

na

mpendane

;

kwa kuwa pendo latoka kwa Mungu, na kila apendaye amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu.” (1 Yohana 4:7)

UPENDONeno la kiyunani ágape linatumika katika agano la jipya kwa ajili ya upendo wa Mungu

na upendo tunaopaswa kuonesha.Aina hii ya upendo ni Zaidi ya upendo

wa kimili. Ni kipawa cha Roho Mtakatifu. (Warumi 5:5).

Andika

jina

lako

pembeni

ya sentensi zinazofanana na ukweli maishani mwako leo:

Hebu

linganisha

tabia

yako

na

maana

ya

upendo

wa

ágape

katika

1

Wakorintho

13:4-7. Je; Ni

mabadiliko

gani

unaweza

kufanya

maishani

?

Slide5

UNYENYEKEVU

Msitende

neno

lo

lote

kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko

nafsi yake.” (Philippians 2:3)Kwa sababu ya Dhambi, ubinafsi umekuwa sehemu inayorithiwa

ya ubinadamu.

“Kama majivuno na ubinafsi

vingewekwa

kando

,

dakika

tano

zingeondoa

hata yaliyo magumu zaidi.” (Ellen G. White, Early Writings, p. 119)Paulo anatuhimiza kuiga mfano

wa

unyenyekevu

wa

Kristo (fg. 4-8).

Tunaweza

kuufikia

unyenyekevu

wa

kweli

tu

kama

tutapiga

magoti

miguuni

pa

msalaba

.

Slide6

KUJISHUSHA

hali mnanyenyekeana katika kicho cha Kristo

.

(

Waefeso

5:21)Wale wanaompenda Mungu wameitwa kujishusha kila mmoja kwa mwenzake. Paulo anatoa mifano mitatu ya kujishusha:Kwanza, kujishusha katika Kristo kuna pande mbili. Pili, kuna masharti katika mifano ya awali ya kujishusha:

Mambo

haya tayari yalikuwa yakitegemewa katika jamii. sasa, kwa nini ushauri wa Paulo uwe

mpya? Tunawezaje kuubeba katika jamii yetu leo?

Slide7

KUJITOA

Kwa

hiyo

mwanamume

atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili

mmoja.” (Mwanzo 2:24)Kila familia ilianza

kwa kujitoa.Kujitoa huku huenea kwa familia yote:

Kukosa kujitoa husababisha matatizo na mgawanyiko (Tazama kisa

na

Yusufu

na

ndugu

zake).Kujitoa kuliko imara hujenga

muunganiko wa familia ulio imara na wakudumu (Tazama kisa cha Naomi na Ruthu).

Slide8

Sababu ya

mgawanyiko

na

kutofautiana

katika familia na kanisa ni kujitenga na Kristo. Kuja karibu na Kristo ni kukaribiana mmoja kwa mwenzake. Siri ya umoja wa kweli

katika kanisa na katika familia siyo diplomasia, si usimamizi

, si jitihada za kibinadamu za kushinda

matatizo - ingawa kutakuwa

na

mengi

ya

kufanya

– bali ni muungano na Kristo.”

E.G.W. (The Adventist Home, cp. 27, p. 179)