ya UUJ Kondoa 19 Sept 2016 TAARIFA FUPI YA ZOEZI LA UUJSAM 1 Utangulizi Zoezi la UUJSAM liliangalia ripoti za Afya za mwaka wa fedha 201415 Timu ya ID: 815701
Download The PPT/PDF document "Imeandaliwa na Timu" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.
Slide1
Imeandaliwa na Timu ya UUJ Kondoa19 Sept 2016
TAARIFA FUPIYA ZOEZI LA UUJ/SAM
1
Slide2UtanguliziZoezi la UUJ/SAM liliangalia ripoti za
Afya za mwaka wa
fedha
2014/15
Timu ya UUJ ina jumla ya wajumbe 15 na wawezeshaji 4 kutoka SikikaZoezi la UUJ limegawanyika katika sehemu 5Mafunzo ya hatua za UUJTathimini ya ripoti ikiwemo Mpango Kabambe wa Afya wa Halmashauri, Ripoti ya Utekelezaji na Fedha nk (2014/15)Uhakiki wa taarifa katika Vituo vya Kutolea huduma za AfyaUfafanuzi na Uthibitisho kutoka kwa CHMTUwasilishwaji wa ripoti kwa wadau, majadiliano na maazimio ya pamoja
2
Slide3Matokeo ya TathiminiUpatikanaji wa
dawa katika vituo vya
afya
na zahanati kwa mwaka 2014/15 ulikuwa wa kuridhishaKwa sasa mwaka 2016 upatikanaji ni asilimia 86 taarifa kutoka CHMT ambao umechangiwa na kuongezeka kwa mapato ya CHF na NHIFPia, Kituo cha Busi kilionekana kuwa cha mfano kwa kukutwa katika hali nzuri:kuwepo kwa kichomea taka hatarishi, shimo la kutupia kondo la nyuma, Kamati ya Afya ya Kituo kupatiwa mafunzo na Mfawidhi wa kituo nk3
Slide4Matokeo ya Tathmini……Ukamilishaji
wa Ujenzi
wa
Zahanati 17Fedha za Ujenzi ziliombwa lakini hazikupokelewaZahanati 3 ujenzi umekamilika (Humai, Hachwi na Makirinya)Zahanati 6 ujenzi ulianza kwa nguvu za wananchi ila fedha za umaliziaji zilikosekana kutoka Halmashauri(Baura- nyumba ya mtumishi, Mafai, Mongolo, Masange –jengo jipya, Potea na Mwisanga)Zahanati 8 ujenzi haujaanza (Mulua, Salare, Berabera, Kalamba, Kwamafunchi, Kinyasi –jengo jipya, Mitati, Choka,
4
Slide5Ujenzi…….Pamoja na
zahanati ya
Hachwi
kukamilika haijawahi kutumika. Maoni ya CHMT ni kuwa kuna makosa ya kiujenzi (ramani ya zamani). Hata hivyo sasa zahanati iko halmashauri wa mji.Zahanati za Mongolo na Potea zilitumia ramani ya zamani na kusababisha mgogoro katika kuziendeleza. Hata hivyo CHMT imeahidi kukutana na uongozi wa maeneo husika ili kujadili na kupata suluhisho
namna
ya
kuendeleza
zahanati
hizoKwa zahanati ambazo ujenzi umeanza ila haujakamilika, CHMT wameahidi kuzipa kipaumbele kuhakikisha zinamalizika. Halmashauri ina mkakati gani kuhakikisha zahanati ambazo zimeanza ujenzi, zinakamilika kwa wakatiBaadhi ya zahanati ambazo ujenzi haujaanza, wananchi hawaelewi wajibu wao katika kuchangia ujenzi. Hivyo ni wajibu wa halmashauri kushirikiana na viongozi wa vijiji na kata kuwaelimisha na kuhamasisha wananchi katika kuchangia shughuli za ujenzi wa vituo vya kutolea hudumaCHMT waliahidi kutembelea maeneo ambayo ujenzi haujaanza wakiwa na Mhandisi ili kushauri ujenzi sahihi kwa kufuata ramani mpya
5
Slide6Ujenzi……..Hospitali: CCHP ilipanga
ukarabati wa wodi moja,
v
y
oo vya nje na mfumo wa maji.Timu ya UUJ ilihakiki ukarabati na kupata ufafanuzi kutoka kwa CHMT kama ifuatavyo:Vyoo vya nje: Fedha zilizoombwa Sh. 8,000,000/ hazikupokelewa hivyo ukarabati huo haukufanyika. CHMT imeahidi kukarabati vyoo hivyo kwa kutumia fedha za uchangiaji kwa mwaka 2016/17. Timu ya UUJ inashauri ukarabati huo ufanyike kwa haraka kwa sababu hali ya vyoo hivyo ni mbaya sanaWodi no. 6: Fedha iliyotengwa ilikuwa Sh 10,ooo,000/= hata hivyo iliyopokelewa ni sh. 3,000,000/= na haikutumika. Ila ukarabati ulifanyika kwa asilimia 50 na kwa sasa umekamilika. CHMT walitoa ufafanuzi kwamba, utekelezaji wa ukarabati ulitumia fedha kutoka fedha za uchangiaji na kugharimu kiasi cha Sh. 49,954,600/= ikijumuisha pia upanuzi wa
jengo
la
upasuaji
la
hospitali
ambao
umekamilika mwaka huu 20166
Slide7Ujenzi………Ukarabati wa mfumo wa
maji: mwaka 2014/15 fedha zilizotengwa
ni
sh. 16,000,000
na hazikupatikana hivyo ukarabati haukufanyika mwaka huo. Kwa sasa ukarabati uko hatua ya mwisho na kiasi cha sh. 14,451,000 zimetumika kwa kutumia fedha za uchangiaji. Marekebisho yaliyofanyika hadi sasa ni kujenga kisima cha maji kina ujazo wa lita 70,000, kuweka tanki la juu lenye ujazo wa lita 10,000 na pump ya kupandisha maji.7
Slide8Hali ya majengo ya zahanatiBaadhi
ya majengo ya zahanati
yako
kwenye hali mbaya ambayo ni hatari kwa watoa na watumia hudumaKwa mfano: Mongoroma, Masange, Kwadelo ni jengo la Kliniki ya kinamama na KinyasiMajengo yenye miundombinu ambayo sio rafiki: Hospitali ya wilaya, Kisese, Thawi na Sakami Majengo yenye miundombinu rafiki kama Bereko, Mnenia na Baura8
Slide9Nyumba za watumishiMnenia: Hakuna
makazi ya kutosha,
kwa
sasa jengo la wodi ya wazazi inatumiwa kama makazi: Humai na Baura: Watumishi wanatumia sehemu ya zahanati kama makaziMasange, Mkekena, Humai, Makirinya na Kinyasi hakuna nyumba za watumishiMasawi na Sakami: Nyumba za watumishi ziko katika hali mbaya9
Slide10Ziara Za VituoniKatika vituo
vya kutolea huduma 23 (
zahanati
na Vituo vya Afya) tulivyotembelea, hali ilikuwa kama ifuatavyo:Umeme : Upo katika vituo 19 , Umeme haupo katika zahanati za Humai, Makirinya & Kinyasi na zahanati ya Kikore Solar ni mbovuMaji: Yapo katika vituo 3 tu na vituo 20 vilivyobaki hakuna ambavyo ni:(Mnenia, Masange, Mkekena, Kikore, Mongoroma, Thawi, Salanka, Bereko, Humai, Baura, Haubi, Hebi, Makirinya, Sakami, Bolisa, Kwadelo, Kinyasi, Masawi, Bumbuta na Kikilo)Vyoo: Vituo vya kutolea huduma vitano vyoo vipo katika Hali nzuri, vituo 9 Vinahitaji Ukarabati, na vituo 10 vinahitaji Ujenzi Upya ambavyo ni(Mkekena, Mongoroma, Thawi, Humai, Makirinya, Sakami, Bolisa, Kinyasi, Bumbuta)
10
Slide11Ziara Za Vituoni……Kamati za
Afya za Vituo: Vituo
vyote
vilivyotembelewa (23) vina kamati za uendeshaji wa vituo. Hata hivyo ni kamati ya afya ya kituo cha Afya cha Busi ndiyo iliyopata mafunzo ya majukumu ya kamati.Hali ya Majengo ya Zahanati na Vituo vya Afya: Majengo 18 yako katika hali nzuri, Majengo 4 yanahitaji Ukarabati, na majengo 3 yanahitaji Ujenzi Upya ambayo ni Masange, Mongoroma na Kinyasi.Uwepo wa watoa hudumaBado kuna changamoto kubwa ya watoa huduma katika vituo vyote tulivyotembelea. Hatahivyo ufafanuzi wa CHMT umeonyesha ongezeko la watoa huduma kutoka 204 (2012/13 ) hadi 394 (2014/2015)Ila vituo vilivyokuwa havina watumishi
wakati
wa
zoezi
:
Thawi
:
watumishi 2 walikuwa likizo ya uzazi, mmoja alikuwa safarini Kikore:Mmoja alikuwa safarini na mmoja likizo ya uzaziSalanka: Walikwenda benki kubadilisha sahihi za akaunti11
Slide12Ujenzi wa Mashimo Ya Kutupia Kondo la Nyuma
Mwaka 2014/15 CCHP ilipanga kujenga
mashimo
maalum ya kutupa kondo la nyuma kwa zahanati za: Kiteo, Bumbuta, Baura, Bolisa, Mkekena, Bukulu, na Hebi.Shughuli hii haikutekelezwa kwa sababu fedha haikutoka kama ilivyopangwaKwa sasa zinatupwa vyooni, septic tanks au kuwafungia wamama kwenda kutupa nyumbaniHii husababisha harufu kali vyooni na pengine inaweza kuleta maambukizo na usumbufu kwa familia12
Slide13Ujenzi wa mashimo ya Kondo la nyuma…..
Pahi na Busi pekee
ndio
wana mashimo ya kutupia kondo la nyuma na vichomea takaHospitali ya wilaya pia haina kichomea taka hatarishiCHMT waliahidi kulipa kipaumbele swala hili.CHMT walisema kwa sasa makusanyo ya ndani ya vituo na fedha za mfuko wa jamii (CHF) yameongezeka hivyo watashirikiana na kamati za afya za vituo kuweza kujenga kwa kutumia fedha tajwa hapo juu. Baadhi ya zahanati zimepokea fedha za BRN milioni 10 kwa kituo, wameshauri kiasi cha fedha kutumika katika ujenzi wa mashimo ya kutupa kondo la nyuma.13
Slide14Ununuzi wa dawa na vifaa tiba
Hospital: Timu ya
UUJ,
ilitaka
kujiridhisha na ununuzi wa dawa na vifaa tiba kutoka vyanzo tofauti.Basket fund: Ilipokelewa Sh. 73, 573,197/= na kutumia Sh. 73, 322,953/= sawa na asilimia 93.16Papo kwa papo: Ilipokelewa Sh. 25, 621,900/= na kutumia Sh. 24, 999,400/= sawa na asilimia 93.19Bima ya Afya ya Taifa: Ilipokelewa Sh. 6, 807,513/ na kutumia Sh. 4, 836,000/= sawa na asilimia 71.03Mfuko wa Jamii: Hakuna fedha iliyotumika kwa ajili ya ununuzi wa dawa kama ilivyoonyeshwa kwenye ripoti ya utekelezaji kuwa ununuzi umefanikiwa kwa asilimia 100.CHMT wamekiri ni makosa ya kiuandishi kwa kuwa mwaka 2014/15 Uchangiaji wa CHF ulikuwa mdogo sana na wilaya ilikuwa ya mwisho
kimkoa
14
Slide15Ununuzi wa dawa na Vifaa Tiba…..
Vituo vya
Afya:
Ripoti ya utekelezaji iliyonyesha ununuzi wa vifaa vya kupima uzito na urefu vilinunuliwa ila hakuna fedha iliyotumika. CHMT walitoa ufafanuzi wa kupokea vifaa hivyo kutoka kwa wafadhili wa TFNC.Zahanati: Ripoti ya utekelezaji ulionyesha ununuzi wa dawa wa sh 47,327,179/= na baki ya Sh. 11,030,208/=Timu ya UUJ ilitaka kujua kwanini kulikuwa na bakaa wakati upatikanaji wa dawa haujafikia asilimia 100?Ufafanuzi wa CHMT: (Haukuridhisha Timu)15
Slide16Ununuzi wa Mitungi ya Gesi
Vituo vya Afya
:
Timu
ya UUJ ilipenda kujiridhisha kuhusu ununuzi wa mitungi 8 badala ya 40 kama ilivyokuwa imepangwa kwa gharama ya 4,500,000/= Iliyopokelewa ni Sh. 4,913,725 na kutumika sh. 4,500,000/=Ufafanuzi wa CHMT: Hauridhisha timu.16
Slide17Ununuzi wa Mitungi…….Zahanati:
Timu ya UUJ ilitaka kupata
ufafanuzi
wa wa kutumia sh. 23,399,997/= kwa kujaza mitungi 64 tu badala ya ununuzi wa mitungi 260Ufafanuzi wa CHMT: Mitungi iliyojazwa na PLG ilikuwa 272 kwa mwaka. Vielelezo vilitolewa (ledger) na kuthibitishwa na timu.Timu ya UUJ inashauri CHMT ni vema kuwa makini katika kuandika ripoti kwa kuwa inaweza kuleta maana nyingine kama inavyoonekana ujazaji ulikuwa wa mitungi 64 tu kwa mwaka badala ya 272. 17
Slide18Motisha kwa watoa hudumaRipoti
ya Utekelezaji ilionyesha kuwalipa
watoa
huduma 60 kutoka zahanati 36 kupitia P4P jumla ya Sh. 3,360,000/=. Timu ilipopita kwenye zahanati haikupata uthibitisho wa kutosha.Ufafanuzi wa CHMT: Fedha hizo zilitumika kuwalipa watumishi 6 siku ya mei mosi na pia watumishi wa wodi no 2 wa hospitali kwa kupunguza vifo vya mama na mtoto.Hata hivyo orodha na vocha za malipo hazikupatikana kutoka kwa ofisi ya Mganga Mkuu ili kujiridhisha (Timu iliambiwa ziko katika ofisi ya Mweka hazina)18
Slide19Motisha kwa watumishiFedha zilitumika sh. 2,000,000
kuwalipa watumishi 18, timu ya UUJ ilipenda
kupata
ufafanuzi na uthibitishoUfafanuzi wa CHMT: Fedha hizo zilitumika kuwalipa wafanyakazi bora siku ya mei mosi. Hata hivyo orodha na vocha za malipo hazikupatikana kutoka kwa ofisi ya Mganga Mkuu ili kujiridhisha (Timu iliambiwa ziko katika ofisi ya Mweka hazina)19
Slide20Malipo ya ziada:Kulipa posho
kwa muda wa ziada
za
kutoa huduma za dharura. Kiasi cha shilingi 31,200,000/- zilitumika . Ufafanuzi wa CHMT : Fedha hizi ni za on call allowance ambapo zilikuja na kulipwa kwa wahusika. Hata hivyo CHMT wamekiri ni miongoni mwa vocha zilizotumika kulipa zaidi ya mara moja katika upotevu wa fedha za Halmashauri.Timu ilitaka uthibitisho wa malipo kwa muda wa ziada kwa watumishi wa vituo vya afya. Fedha iliyotumika ni 7,800,000/=Ufafanuzi wa CHMT: Fedha hizi ni malipo baada ya saa za kazi (on call allowance) na zimekuwa zikitolewa kwa watumishi .Hata hivyo orodha na vocha za malipo hazikupatikana kutoka kwa ofisi ya Mganga Mkuu ili kujiridhisha (Timu iliambiwa ziko katika ofisi ya Mweka hazina)
20
Slide21Ununuzi wa vocha za mawasilianoTimu
ilipenda kupata ufafanuzi wa
fedha
Sh 5,500,885/- zilizotolewa na BF hazikutumika kama ilivyopangwa. Ufafanuzi wa CHMT.- dokezo kwa ajili ya malipo liliandaliwa ila likakwama kwa kuwa fedha hazikuwepo –ni miongoni mwa fedha za Halmashauri zilizopotea.21
Slide22Ununuzi wa mafutaTimu ilipenda
kujiridhisha matumizi ya Sh. 1,000,000/= kwa
ajili
ya kuwatambua wazee wasio na uwezo na watoto wanaoishi kwenye mazingira hatarishi 300. kiasi kilichotumika ni mara mbili ya fedha iliyoombwa (Sh 500,000/=). Zoezi la ukaguzi wa masuala ya vifo vya uzazi fedha zilizotumika ni 130,440/= kwa asilimia 100Huduma za mkoba kwa vijiji 12, fedha iliyotumika ya mafuta 2,500,000/= Ufafanuzi wa CHMT.- Fedha hii ilitumika kununua mafuta (disel) kwa pamoja. Timu inashauri fedha husika iliyopangwa kwenye shughuli itumike kama ilivyopangwa badala ya kubadilisha matumizi ili isiathiri shughuli husika.22
Slide23Huduma za VVU na UKIMWITimu ilipenda
kujua usimamizi na ufuatiliaji
wa
shughuli za UKIMWI zilitekelezwaje wakati hakukuwa na fedha kwa ajili ya shughuli hiyo.Ufafanuzi wa CHMT.- Shughuli iliunganishwa na kazi za kawaida za usimamizi elelekezi ambao ulifanyika kila mwezi kwa fedha za BF. Timu ilikutana na changamoto ya dawa aina ya septrin ambayo ni muhimu kwa WAVIU.Ufafanuzi wa CHMT.- wamekiri kuna uhaba wa septrin kwasababu zamani zilikuwa kwenye mradi msonge ( vertical program) kwa sasa umesitishwa. Teyari mfamasia amebainisha mahitaji ambayo ni takribani makopo 700 ambayo ni gharama kubwa ukilinganisha na uwezo wa halmashauri. Hata hivyo CHMT watashauri vituo vinavyotoa huduma za VVU/UKIMWI kutumia mapato ya ndani kwa ajili ya ununuzi wa septrin.
23
Slide24OPRAS- Timu ya UUJ ilitoa maoni kwa
CHMT kuhusu wa fomu za
OPRAS
Katika
vituo vilivyotembelewa zaidi ya asilimia 90 ya watumishi waliohojiwa hawakuwa wamejaza OPRAS mwaka 2014/15Wengi wa ambao walikuwa wamejaza mwaka huu 2016/17 hawakuwa na uelewa juu ya umuhimu na utaratibu wa ujazaji wa OPRASTimu inashauri ni vema watumishi wakaelewa umuhimu wa ujazaji wa fomu za OPRAS na kupata mrejesho kwa wakati 24
Slide25Mapendekezo.Timu inashauri yafuatayo:
Kuhakiki kwa makini
taarifa
mbalimbali mfano mpango mkakati , mpango kabambe , ripoti ya utekelezaji ili kuepuka makosa yanayozuilika kwa mfano kwenye taarifa ya mpango mkakati ilionesha kuwa maambukizi ya UKIMWI yanachangiwa na wafanyabiashara wa kahawa na madini.CHMT, kamati mbalimbali za halmashauri, mhandisi wa HW, kuhakikisha wanashiriki na kutoa ushauri tangu mipango ya awali hadi kukamilika kwa ujenzi.Kuelimishwa
kuhusu
sera,miongozo
,
na
ramani
kwenye vijiji na kata hasa viongozi25
Slide26MAPENDEKEZOKuhakiki maeneo
yanayotengwa kwa ajili
ya
ujenzi wa vituo vya kutolea huduma ili kuepuka migogoro na jamii inayohusika. Mfano mgogoro wa BolisaFedha za CHF na tele kwa tele zirudi vituoni kwa wakati ili kuboresha utoaji wa hudumaHalmashauri ifanye mafunzo kwa kamati za usimamizi wa vituo vya huduma mara tu wanapochaguliwa26
Slide27ASANTENI.......27