Somo la 6 kwa ajili ya Mei 11 2019 Jinsi ya Kuonesha Upendo wetu Upendo wa Kiroho na wa kimwili Upendo na Urafiki Kuonesha upendo ID: 806163
Download The PPT/PDF document "WIMBO WA KIFALME WA MAPENZI" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.
Slide1
WIMBO WA KIFALME WA MAPENZI
Somo
la 6
kwa
ajili
ya
Mei 11, 2019
Slide2Jinsi ya Kuonesha
Upendo wetu:Upendo wa Kiroho na wa kimwiliUpendo na UrafikiKuonesha upendo kimwiliJinsi ya kudumisha upendo uwe hai:Upendo unaosubiriUkomo wa Upendo
Mahusiano ya kingono ni mada mwiko katika tamaduni nyingi. Kwa ujumla zimechukuliwa kama kitu chenye dhambi.Hata hivyo, biblia hueleza kuwa, Mungu alimuumba mwaume na mwanamke sio tu ili wazaliane bali pia wafurahie mahusiano ya unyumba na toshelevu, kimwili na kiroho.Mahusiano ya kingono ni zawadi kutoka kwa Mungu. Je; Tunawezaje kuyafurahia katika namna sahihi? Je; ipi ni mipaka au ukomo katika aina hii ya mahusiano?
Slide3UPENDO WA KIMWILI NA KIROHO
“
maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika
miili yenu.” (1 Wakorintho 6:20)Kuna dhana potofu ya kiyunani iliyopenyeza kwenye ukristo yumkini tangu mwanzo wake : kwamba miili yetu ni mibaya kwa kurithi na roho zetu ni nzuri kwa kurithi.Matokeo yake, ngono imetazamwa kama dhambi.Hata hivyo, mwili na roho havitenganishwi kwa mujibu wa Biblia (Mwanzo 2:7). Utakatifu si kitu kisichopatana
na ngono. Maisha ya ngono sawa na kanuni za afya hayamzuii
mtu kuwa mtakatifu kimwili na kiroho mbele za Mungu.Wimbo
ulio bora huzungumzia mahusiano ya kimwili
katika uasilia. Nyayo, kitovu, matiti
, mabusu,… Mungu aliviweka vyote hivi kwa ajili ya furaha
ya kimwili kwa wenzi (5:10-16; 7:1-9).
Slide4UPENDO NA URAFIKI
“
Kinywa chake kimejaa maneno matamu, Ndiye
mzuri sana pia pia. Ni huyu mpendwa wangu, ni huyu rafiki yangu, Enyi binti za Yerusalemu!”
(Wimbo Ulio
Bora 5:16)Ili kufurahia mahusiano katika ukamilifu wake,
mwanaume na mwanamke wanaooana ni
lazima wawe marafiki kwanza. Marafiki wa
dhati.
Wanakuwa
na
muda
pamoja
,
wanawasiliana
kwa
uwazi
,
na
kujaliana
mmoja kwa mwenzake.Huo urafiki wa kupendana huwasaidia wenzi kuwa pamoja, wakioneshana vile wanavyovutiana wao kwa wao pamoja na kukamilishana na ishara za mapenzi.
Hata
hivyo
,
upendo
wa
kweli
sio
kitu
cha
asili
kwetu
,
bali
ni
kipawa
kutoka
kwa
Roho
Mtakatifu
.
Huo
upendo
wakujitoa
usio
na
ubinafsi
ni
kiunganishi
imara
na
cha
kudumu
Slide5KUONESHA UPENDO KIMWILI
“
Amka, kaskazi; nawe uje, kusi;
Vumeni juu ya bustani yangu, Manukato ya bustani yatokee. Mpendwa wangu na aingie bustanini
mwake, Akayale
matunda yake
mazuri
.”
(Wimbo Ulio
Bora 4:16)Mungu
aliwahimiza Adamu na
hawa kuwa “mwili
mmoja
”
katika
bustani
ya
edeni
.
Katika
sitiari
hii kutoka katika Wimbo Ulio Bora, mwili wa mwenzi huwa
bustani
ambayo
wanaweza
kuifurahia
.
Maelezo
ya
namna
hii
huonesha
kuwa
mahusiano
ya
kingono
no
zawadi
kutoka
kwa
Muumba
wetu
.
Namna
iliyozoeleka
ya
kuelezea
mahusiano
ya
undani
wa
unyumba
katika
Biblia
ni
“
kumjua
" (Mw. 4:1, 17, 25; 1S. 1:19; 1Wf. 1:4; Lk. 1:34).
Kitenzi
hicho
pia
hutumika
kuelezea
uhusiano
kati
ya
mwanadamu
na
Mungu
(Yohana 17:3).
Slide6UPENDO UNAOSUBIRI
“
Bustani iliyofungwa ni umbu langu, bibi arusi, Kijito kilichofungwa, chemchemi iliyotiwa muhuri.
” (Wimbo Ulio Bora 4:12)Hoja katika Wimbo Ulio Bora ni kwamba mwanaume na mwanamke wabaki bikra (“Bustani iliyofungwa") hadi watakapofunga ndoa.katika Wimbo Ulio Bora 8:8-10, familia ya binti Mshunami aliyekuwa akijiuliza ikiwa alikuwa ukuta (uliofungwa) au mlongo (uliowazi).Anathibitisha kuwa yeye
bado ni bikra (ukuta). Hilo linamtuliza, hebu wapenzi wafurahie “maziwa na
asali” (4:11), kujitolea kamili na kwa usawa.yaani, wanajisikia kana kwamba wamekwisha fika katika
nchi ya ahadi [inayotiririka maziwa
na asali] kwa pamoja.
Slide7MIPAKA YA UPENDO
“
Nitie kama muhuri moyoni mwako, Kama muhuri
juu ya mkono wako; Kwa maana upendo una nguvu kama mauti, Na wivu ni mkali kama ahera
. Mwako wake ni
mwako wa
moto, Na miali
yake
ni
miali ya
Yahu.”
(Wimbo
Ulio
Bora 8:6
)
Muunganiko
wa
mwanaume
na
mwanamke
huonesha
sura ya Mungu
(
Mwanzo
1:26-27).
Hata
hivyo
,
dhambi
imeharibu
mahusiano
ya kingono. Hivyo basi, Mungu aliweka mipaka kwenye ngono. Na ameweka bayana kipi ni sawa na kipi si sawa (Walawi 20:7-21; Warumi 1:24-27).Uzinzi, mahusiano ya ngono miongoni mwa wanafamilia, ushoga, ngono kati ya wanadamu na wanayama na namna zote za ngono zisizokubalika zinahesabika kuwa ni dhambi katika biblia.Tunahimizwa kukubali kuwa miili, shughuli zetu na uwezo wetu wa kushiriki ngono ni mali ya Mungu. Lazima tuvitumie sawa na mpango wake – Kwa msaada wake.
Slide8“Upendo wa
Mungu
unaotoka kwa Kristo hauharibu upendo wa kibinadamu, bali unaujumuisha. Kwao upendo wa kibinadamu husafishwa na
kutakaswa, kuinuliwa na nakupewa heshima. Upendo wa kibinadamu hauwezi kuzaa matunda yake ya thamani mpaka umeunganishwa na asili ya kimungu na kufundishwa kukua kuelekea mbinguni. Yesu anataka kuona ndoa zenye
furaha, familia zenye furaha.Kama
ilivyo kwa kila zawadi
nzuri kutoka Mungu
zilizotolewa kwa
uhifadhi wa ubinadamu, ndoa
imepotoshwa na dhambi; lakini
ni kusudi la injili ya
kurejesha usafi na uzuri wake ...
Neema
ya
Kristo
peke
yake
,
inaweza
kufanya
taasisi hii kuwa kile ambacho Mungu alikusudia- wakala wa baraka na kukuza ubinadamu. Na
hivyo
familia
za
duniani
,
katika
umoja
wao
na amani na upendo, zinaweza kuwakilisha familia ya mbinguni.”E.G.W. (The Adventist Home, cp. 15, p. 99-100)