Somo la 9 kwa ajili ya Novemba 30 2019 Vyombo Vitakatifu Ezra 1911 Waliorejeshwa Ezra 21 Nehemia 757 Kubaki nyuma Walawi Ezra 8120 Wakazi ID: 808397
Download The PPT/PDF document "MAJARIBIO, DHIKI NA UWANJA WA MAPAMBANO" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.
Slide1
MAJARIBIO, DHIKI NA UWANJA WA MAPAMBANO
Somo
la 9
kwa
ajili
ya
Novemba
30, 2019
Slide2Vyombo
Vitakatifu
(Ezra 1:9-11)Waliorejeshwa (Ezra 2:1; Nehemia 7:5-7)Kubaki nyuma: Walawi (Ezra 8:1-20)Wakazi wa Yerusalemu (Nehemia 11:1-24)Waimbaji wa kwaya (Nehemia 12)
Wana wa Israeli walipitia majaribio na dhiki walipokuwa wamerudi kutoka Babeli.Kurudi katika nchi ya Ahadi haikuwa rahisi. Hata hivyo, daima Mungu alikuwa akiwalinda na kuwatia nguvu.Orodha katika vitabu vya Ezra na Nehemia inaonyesha namna Mungu anavyoitawala historia. Pia anatujali kila mmoja wetu na kwa undani wa maisha yetu.
Slide3VYOMBO VITAKATIFU
“
Belshaza
, alipokuwa akionja ile divai, akaamuru
wavilete vile vyombo vya dhahabu na fedha, ambavyo baba yake, Nebukadreza, alivitoa katika hekalu lililokuwa Yerusalemu; ili kwamba mfalme, na
wakuu wake,
na wake
zake, na
masuria
wake, wapate
kuvinywea
.
” (Danieli 5:2)
Danieli 1:2 inasema kwamba Nebukadreza alivichukua vyombo vya hekalu naye akaviweka katika hekalu la mungu wake.Ezra aliorodhesha vyombo 2,499 kati ya 5,400 vilivyorudishwa kwenye Hekalu la Yerusalemu.Mungu aliitunza hesabu ya vyombo vyote, na hakuna hata kimoja kilichobaki Babeli. Yeye anaitawala historia na anajali kila kitu.
Belshaza
alisukumwa
kwa
kujaribu
kutumia
vyombo
vitakatifu
kwa
matumizi
ya
kawaida
.
Hakutaka
kuukubali
utakatifu
wa
Mungu
.
Slide4WALIOREJESHWA
“
Basi
kusanyiko lote zima, jumla
yake ilikuwa watu arobaini na mbili elfu na sitini.” (Ezra
2:64)Wengi
wa Wayahudi
waliendelea kutunza
nasaba zao
. Hawakuwahi
kupoteza
utambulisho wao wakati
wakiwa uhamishoni. Walijua kabila na familia zao.Mungu anajua kila familia na kila mtu, pamoja na
kazi zao. Hii
inaaksiwa kwenye
orodha ya
majina
katika
Ezra.
Hata
ambao hawakuzijua nasaba zao (zaidi ya Wayahudi 10,000) walijumuishwa pia kwenye orodha ya waliotoka uhamishoni.
Kila
mmoja wetu ana nafasi yake na ya kipekee katika kazi ya Mungu.
Slide5KUBAKI NYUMA: WALAWI
“
Ndipo
Bwana, Mungu wako, atakapougeuza utumwa
wako, naye atakuhurumia, tena atarejea na kukukusanya kutoka mataifa yote, huko alikokutawanyia Bwana, Mungu wako.” (Kumbukumbu la
Torati 30:3)
Wengi walisita kuiacha nchi
yao waliozaliwa licha ya utimizwaji
wa kushangaa wa unabii wa
Kumbukumbu la Torati 30:1-6.Hata hivyo,
wito
wa Ezra uliwasukuma baadhi yao kwenda Yuda na kuungana
na watu waliokuwa wametangulia miaka 80 kabla.Ezra alishangaa sana pale alipoona hakuna Walawi kwenye orodha ya waliohiari kuondoka (Ezra 8:15).
Slide6“Nikawakusanya
penye
mto ushukao kwenda Ahava; na huko tukapiga kambi
yetu muda wa siku tatu; nikawakaguwa watu, na makuhani, wala sikuona hapo wana wa Lawi hata mmoja.” (Ezra
8:15)Walawi walikuwa ni
wa muhimu sana. Walikuwa walipaswa
kuwasaidia makuhani ili kuendesha matengenezo
ya kiroho ya Ezra. Kwahiyo, wito
wa pili ulifanywa ili
kuwashawishi
baadhi ya walawi kwenda Yerusalemu.Ezra alituma baadhi
ya wajumbe kwenda Kasifia ili waongee na Walawi. Hatimaye Ido alituma Walawi 38 na watumishi wengine 220 wa hekaluni (aya. 17-20).KUBAKI NYUMA: WALAWIWalikusanyika, wakafunga
na kjinyenyekeza mbele za Mungu. Mungu aliwaahidi kuwa wangerudi
katika nchi yao, hivyo waliomba ulinzi Wake ili
kufika pale.Walitambua kuwa walimtegemea Mungu
peke
yake.
Slide7“Kama tu wamoja kiakili
na
Mungu, mapenzi yetu yatamezwa na mapenzi yake nasi tutaenda kokote
Mungu anakotuongoza. Kama mtoto mpendwa awekavyo mkono wake katika mkono wa baba yake, na anatembea nae kwa imani kubwa iwe ni gizani au nuruni, hivyo wana na binti
za Mungu inawapasa watembee
na Mungu
kapitia furaha au
huzuni.”
E.G.W. (That I May Know Him, September 1)
Slide8WAKAZI WA YERUSALEMU
“
Basi
, wakuu wa watu walikuwa wakikaa Yerusalemu
; nao watu waliosalia wakapiga kura, ili katika watu kumi kumleta mmoja akae ndani ya Yerusalemu mji mtakatifu, na wale kenda wakae
mijini.” (Nehemiah 11:1)
Ukuta
wa Yerusalemu ulikuwa umeshajengwa
tayari. Hivyo maisha ya kila
siku yalipaswa yarudi katika kawaida
yake
. Kila mtu ilimbidi kurudi nyumbani kwao.Watu
wengi walikuwa wakiishi vijijini katika nchi yote ya Yuda.Baadhi ya watu tu walihiari kuacha nchi za mababa zao ili kuhamia Yerusalemu, wakiendana na mtindo wa maisha wa mji
(Nehemia 11:2).Ilikuwa ni dhabihu muhimu, lakini Yerusalemu
ilipaswa kujawa na watu tena, na huduma za
Hekalu zibaki kuwa imara.
Slide9WAIMBAJI WA KWAYA
“
Ndivyo
walivyosimama mikutano miwili yao walioshukuru
nyumbani mwa Mungu, na mimi, na nusu ya mashehe pamoja nami.” (Nehemia 12:40)Mungu alikuwa amewasaidia katika kuujenga upya
ukuta. Sasa,
walipaswa kuuweka
wakfu
na
kumshukuru
Mungu
hadharani kwa
msaada Wake.Nehemia aliorodhesha makuhani na Walawi, Tena, alichagua waimbaji wa kwaya
mbili ambao wangeuweka
wakfu
ukuta.
Juu
ya
ukuta
, Ezra aliongoza kwaya moja na Nehemia aliiongoza nyingine. Kila kwaya ilielekea sehemu tofauti
ya
mji na zikakutana kwenye Hekalu.Watu wote walimsifu Mungu. Sherehe yake
ilisikiwa
hadi
mbali
mno
(
Nehemia
12:43).
Slide10“Pale tutakapokuwa na
shukurani
za ndani kwa rehema na wema wa upendo wa Mungu,
tutamsifu Yeye, badala ya kulalamika. Tutauongelea ulinzi mwema wa Bwana, kwa huruma ya Mchungaji Mwema. Lugha ya moyo haitakuwa na manung’uniko na malalamino. Sifa, kama chemchemi
ibubujikayo, itatoka kwa yule
anayemwamini Mungu
kweli kweli.”
E.G.W. (Sons and Daughters of God, July 10)