/
Mitandao   ya   kijamii Mitandao   ya   kijamii

Mitandao ya kijamii - PowerPoint Presentation

narrativers
narrativers . @narrativers
Follow
364 views
Uploaded On 2020-10-22

Mitandao ya kijamii - PPT Presentation

ni kipengele muhimu katika kuwaambia marafiki na wakristo wenzako kuhusu Malengo ya Ulimwengu m itandao hii huyafanya mawasiliano ID: 815319

kwa salakwakilamtu yangu malengoyaulimwengu salakwakilamtu kwa malengoyaulimwengu yangu katika endelevu kufikia kukomesha umaskini mungu ulimwenguni malengo mwaka siku ili

Share:

Link:

Embed:

Download Presentation from below link

Download The PPT/PDF document "Mitandao ya kijamii" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.


Presentation Transcript

Slide1

Mitandao ya kijamii ni kipengele muhimu katika kuwaambia marafiki na wakristo wenzako kuhusu Malengo ya Ulimwengu; mitandao hii huyafanya mawasiliano yawe ya kibinafsi na ya haraka, aidha ni njia rahisi ya kushiriki ujumbe wako na jamii pana. Tumebuni kifaa hiki maalum chenye mifano ya tweet na machapisho ili kukurahisishia kazi, lakini tunakuhimiza kufanya ushirika wako uwe wa kibinafsi kwa njia yoyote unayoona inakufaa zaidi. Katika mifano mingi, tumejumuisha malengo hususa kama mfano lakini tunakuhimiza kufanya mabadiliko yanayowakilisha sauti na matumaini yako. Je, ni lengo lipi ambalo ungependa kulitetea?Asante kwa kuwaambia wote kuhusu #malengoyaulimwenguHashtag za kutumia ni: #salakwakilamtu #malengoyaulimwengu

Sala kwa Kila Mtu – Zana ya Mtandao wa Kijamii ya Wakristo

Machapisho Yaliyopendekezwa (Twitter) #salakwakilamtu yangu ni kukomeshwa kwa njaa ulimwenguni kote kufikia mwaka wa 2030 kwa sababu kupitia Mungu, kila kitu chawezekana #malengoyaulimwengu Torati 15:7 “hutaufanya moyo wako kuwa mgumu na kuukinga mkono wako kufikia ndugu yako maskini”. #Salakwakilamtu yangu ni kukomeshwa kwa umaskini #malengoyaulimwengu #Salakwakilamtu yangu ni kuwepo kwa elimu yenye ubora wa juu kwa kila mtu kufikia mwaka wa 2030. Je, yako ni gani? #SDGsKatika Mathayo 25, Yesu anasema “Kwa maana nilipokuwa na njaa ulinipa chakula.” #salakwakilamtu yangu ni kukomesha njaa ulimwenguni kote kufikia mwaka wa 2030Bwana, ninaombea dunia ambayo watoto wote wana chakula cha kutosha. #salakwakilamtu #malengoyaulimwenguBwana anatutaka tufanye nini? Kuwa wenye matendo ya haki, kupenda huruma na kutembea kwa utiifu wa Mungu wetu. #salakwakilamtu #malengoyaulimwenguNinajiunga na ndugu na dada zangu katika Kristo ili kuombea ukomeshaji wa ukosefu wa usawa wa kijinsia. Je, #salakwakilamtu yako ni gani? #malengoyaulimwenguNinaongeza #salakwakilamtu yangu kwa watu wa imani na dini zote duniani kote ili kukomesha umaskini. #malengoyaulimwengu Ninapigana dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa kwa sababu “ulimwengu ni wa Mungu na ukamilifu wake wote pia ni wa Mungu” #salakwakilamtu #malengoyaulimwengu

Slide2

Sala kwa kila mtu– Vifaa vya mitandao ya kijamii kwa WakristoMachapisho Yaliyopendekezwa (Facebook)   Yesu alisema “chochote unawatendea hawa ...ulinitendea mimi.” Ninaombea viongozi wa mataifa ya dunia kutimiza juhudi zao za kukomesha umaskini kwa ndugu na dada zetu ulimwenguni kote kwa maarifa na neema #salakwakilamtu # malengoyaulimwengu #Salakwakilamtu yangu ni kukomeshwa kabisa kwa njaa ulimwenguni na umaskini uliokithiri ulimwenguni kote kufikia mwaka wa 2030, kwa sababu ni kwa Mungu tu ndipo mambo yote yanawezakana. Mungu wafuasi wake kuwalinda watu wasiojiweza katika jamii. #Malengoyaulimwengu, yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa (UN), ndiyo mpango wa dunia wa kukomesha umaskini uliokithiri, kupigana dhidi ya ukosefu wa usawa

na haki, na kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa kufikia mwaka

wa 2030. Ikiwa sisi sote tungejiunga na #salakwakilamtu, tunaweza kuufanya ulimwengu huu uwe mahali pazuri kwa kila mtu. Katika Biblia “hutaufanya moyo wako kuwa mgumu na kuukinga mkono wako kufikia ndugu yako maskini” (Torati 15: 7). #Salakwakilamtu yangu ni kukomesha umaskini kufikia mwaka wa 2030. #malengoyaulimwengu“Wahitaji hawatasahaulika kamwe milele, sio kwamba matumaini ya watu maskini hufifia milele” (Zaburi 9:18). #Salakwakilamtu yangu ni kwamba jumuiya za imani zote ulimwenguni kote zinaweza kuja pamoja katika shughuli za kukomesha umaskini, kwa sababu kupitia Mungu yote yawezekana. #malengoyaulimwengu 

Slide3

Pakua picha za Wakristo za Kushiriki kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwenye ukurasa wetu wa nyenzo Au kuwa mbunifu na uunde picha zako! Hapa kuna baadhi ya nukuu unazoweza kupenda kutumia… “Binadamu wote wanategemea kutambua ubinadamu katika wanadamu wengine” – Archbishop Desmond Tutu #Salakwakilamtu “Miongoni mwa majukumu yetu kama wanaoshiriki upendo wa Kristo ni kukipa sauti kilio cha watu”– Papa Francis #Salakwakilamtu“Hatufai tu kuyafunga majeraha ya majeruhi katika minyororo ya ukosefu wa haki, tunahitaji kuifungua minyororo hiyo” - Dietrich Bonhoeffer #Salakwakilamtu “Ikiwa hatuna amani, ni kwa sababu tumesahau kwamba sisi ni mali ya kila mmoja wetu” – Mama Teresa #Salakwakilamtu “Tenda matendo yako madogo mazuri popote ulipo; ni hayo matendo madogo mazuri

ambayo yakiwekwa pamoja yanaujaza ulimwengu” – Desmond Tutu #SalakwakilamtuNa ikiwa unahitaji mengi zaidi ili kushiriki kuhusu

Malengo hayo tembelea :http://www.globalgoals.org/tell-everyone

Slide4

Siku ya Kwanza, tarehe 24 Septemba: Sali kwa ulimwengu kutimiza malengo hayaLeo ni siku ya kwanza ya siku saba za Sala kwa Kila Mtu #salakwakilamtu ili kuweza kuafikia Malengo ya Maendeleo Endelevu #malengoyaulimwengu Fuata na utumie hashtag #salakwakilamtu ili tuhamasishe watu duniani kuombea Malengo ya Maendeleo Endelevu #malengoyaulimwenguLeo tunazingatia zaidi #Salakwakilamtu ya kushirikiana katika kutimiza #malengoyaulimwengu#Salakwakilamtu yangu ni kwamba tuweze kuafikia lengo #17 la Maendeleo Endelevu: Kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuweza kutimiza #malengoyaulimwenguTorati 15: 7 “hutaufanya moyo wako kuwa mgumu na kuukinga mkono wako kufikia ndugu yako maskini”. #Salakwakilamtu yangu ni kukomesha umaskini kufikia mwaka wa 2030. #malengoyaulimwengu#Salakwakilamtu yangu ni kwamba serikali, mashirika ya kiraia, wafanyabiashara

na umma watetee mahitaji ya wasiojiweza katika jamii#Salakwakilamtu yangu ni kuimarisha

ushirikiano ili kuweza kufikia wasiojiweza katika jamii na kukomesha kuteseka kwaoKesho fuata na utume tena tweet tutakapoendelea kuzingatia #Salakwakilamtu ya kukomesha umaskini ulimwenguni kote #malengoyaulimwenguKwa wale wanaopenda kushiriki katika #Salakwakilamtu kila siku, tumetoa ujumbe ufuatao unaoweza kushiriki kwenye mitandao ya kijamii. Siku ya Pili, tarehe 25 Septemba: Sali kwa ukomeshaji wa umaskini ulimenguni koteLeo #Salakwakilamtu ni kukomesha umaskini ulimwenguni kote#Salakwakilamtu yangu ni kuafikia Lengo la #1 la Malengo ya Maendeleo Endelevu la: Kukomesha umaskini katika hali zake zote ulimwenguni kote Yesu aliwaita waumini wake kusaidia “wadogo kati ya hawa” #Salakwakilamtu yangu ni kukomesha umaskini ulimenguni kote kufikia mwaka wa 2030 #malengoyaulimwengu Jiunge na wengine ulimwenguni katika kutoa #salakwakilamtu kufikia mwaka wa 2030 . Yangu ni kwamba umaskini utaisha. Je, yako ni gani? #malengoyaulimwengu Jiunge nami na ndugu na dada zangu katika Kristo katika kufanya bidii ili kukomesha umaskini uliokithiri #Salakwakilamtu #Malengoyaulimwengu“Umaskini ulimwenguni ni mkasa” – Papa Francis #Salakwakilamtu #MalengoyaulimwenguKesho fuata na utume tena tweet tutakapoendelea kuzingatia zaidi #Salakwakilamtu ya kukomesha njaa #malengoyaulimwengu

Slide5

Siku ya Tatu, tarehe 26 Septemba: Sali kwa ukomeshaji wa njaaLeo #SalaKwaKilaMtu yangu ni kukomesha njaa#SalaKwaKilaMtu yangu ni kuafikia Lengo la #2 la Malengo ya Maendeleo Endelevu la: Hakuna Njaa #malengoyaulimwengu #SalaKwaKilaMtu yangu ni kukomesha njaa ulimwenguni kote na majongwa yanayoweza kuzuilika kufikia mwaka wa 2030 kwa kuwa kupitia Mungu mambo yote yanawezekana.Yesu alisema “Wakati nilipokuwa na njaa ulinipa kitu cha kula” #SalaKwaKilaMtu yangu ni kukomesha njaa ulimwenguni kote kufikia mwaka wa 2030 Mungu, ninaomba kwamba watoto wote wawe chakula cha kutosha #SalaKwaKilaMtu #malengoyaulimwengu Umaskini ni mnofu wa Yesu maskini, kwa yule mtoto mwenye njaa, yule mgonjwa - Papa Francis #SalaKwaKilaMtu

Kesho fuata na utume tena tweet tutakapoendelea kuzingatia #SalaKwaKilaMtu ya kuihifadhi sayari

yetu #malengoyaulimwengu Siku ya Nne, tarehe 27 Septemba: Sali kwa uhifadhi wa SayariLeo #Salakwakilamtu ni kwa uhifadhi wa sayari#Salakwakilamtu yangu ni kwamba tuwe walinzi wema wa maumbile ya Mungu na kuihifadhi sayari yetu #malengoyaulimwengu #Salakwakilamtu yangu ni kufikia Lengo la #13 la Malengo ya Maendeleo Endelevu : Kuchukua hatua dhidi ya mabadiliko ya Hali ya hewa #malengoyaulimwenguMungu, ninaombea matumizi mazuri ya maji yetu ili tuwe na maji safi na usafi ulimwenguni #SalakwakilamtuMungu, #salakwakilamtu yangu ni kuwa sisi sote tufanye bidii kuhakikisha kuwa kuna maji na usimamizi endelevu wa maji na usafi kwa wote #Salakwakilamtu yangu ni kutekeleza Lengo la #14 la Malengo ya Maendeleo Endelevu la: Kulinda viumbe hai vilivyopo nchi kavu #malengoyaulimwengu#Salakwakilamtu yangu ni kutekeleza Lengo la #15 ya Malengo ya Maendeleo Endelevu la: Kulinda viumbe hai vilivyopo majini #malengoyaulimwengu #Salakwakilamtu yangu ni kuwa na busara kwa jinsi tunavyoshughulikia viumbe hai vilivyopo majini #malengoyaulimwengu#Salakwakilamtu yangu ni kuwa na busara kwa jinsi tunavyoshughulikia viumbe hai waliopo nchi kavu #malengoyaulimwenguNinaombea

hatua

ulimwengu

wote

ichukuliwe

ili

kuhifadhi

na

kuwepo

kwa

matumizi

endelevu

wa

bahari

,

maziwa

na

ras

il

imali

zote

za

maji

#Salakwakilamtu

Kesho

fuata

na

utume

tena

tweet

tu

taka

poendelea

kuzingatia

#

Salakwakilamtu

juu

ya

elimu

yenye

ubora

#

malengoyaulimwengu

Slide6

Siku ya Tano, tarehe 28 Septemba: Sali kwa elimu yenye ubora kwa wote Leo ni siku ya 5 kati ya siku zetu 7 za maombi. Leo #Salakwakilamtu ni kuombea elimu yenye ubora kwa watu wote #malengoyaulimwengu #Salakwakilamtu yangu ni kutekeleza Lengo la #4 la Malengo ya Maendeleo Endelevu la: Elimu yenye ubora na elimu inayoendelea maisha yote kwa kila mtu #malengoyaulimwengu Bwana, ninaombea mafundisho na elimu unaotoa elimu yenye ubora kwa wote #Salakwakilamtu #malengoyaulimwengu Mungu, tunaombea elimu jumlishi na yenye ubora inayowawezesha wavulana na wasichana

kuweza kuufikia upeo wa uwezo wao #Salakwakilamtu#Salakwakilamtu yangu

ni kwamba kila mtu aweze kupata elimu yenye ubora kufikia mwaka wa 2030. Yako ni gani? #malengoyaulimwengu Ninajiunga na ndugu na dada zangu katika Kristo ili kuombea ukomeshaji wa ukosefu wa usawa wa kijinsia. Je, #Salakwakilamtu yako ni ipi? #malengoyaulimwengu Kesho fuata na utume tena tweet tutakapoendelea kuzingatia #Salakwakilamtu kuhusu jamii endelevu #malengoyaulimwengu Siku ya Sita, tarehe 29 Septemba: Sali kwa jamii endelevu Leo #Salakwakilamtu ni kuombea jamii za kudumu zenye usalama kila mahali #malengoyaulimwengu #Salakwakilamtu yangu ni ya kuafikia Lengo la #11 la Malengo ya Maendeleo Endelevu la : Kuifanya miji na maskani ya wanadamu iwe salama, ya kudumu na endelevu #malengoyaulimwengu Ninajiunga na ndugu na dada zangu katika Kristo na kuombea jamii endelevu ifikapo mwaka 2030. Je, #Salakwakilamtu yako ni ipi? #malengoyaulimwengu Ninamwomba Mungu kuinua jamii ziwe jumlishi, salama, za kudumu na endelevu #Salakwakilamtu #malengoyaulimwengu Tunaombea kila mtu kuweza kufikia nishati inayoweza kupatikana, kutegemewa, endelevu na ya kisasa #Salakwakilamtu #malengoyaulimwengu Tunaomba Mungu kutupa

vipaji

vya

ubunifu

, kwa

ajili

ya

uvumbuzi

na

miundombinu

#

Salakwakilamtu #

malengoyaulimwe

n

gu

Kesho

fuata

na

utume

tena

tweet

tu

taka

poendelea

kuzingatia

#Salakwakilamtu

ya

amani

na

haki

#

malengoyaulimwe

n

gu

Slide7

Siku ya Saba, tarehe 30 Septemba: Ombea amani na haki na taasisi imaraLeo ni siku ya 7 #Salakwakilamtu– leo tunaombea ulimwengu wenye amani na haki #malengoyaulimwengu #Salakwakilamtu yangu ni ya kuafikia Lengo la #16 la Malengo ya Maendeleo Endelevu la: Kuendeleza jamii zenye amani na ujumulishaji #malengoyaulimwengu Jiunge na wengine katika kutoa #Salakwakilamtu yangu ni kuwepo kwa ulimwengu wenye amani na haki. Yako ni gani? #malengoyaulimwengu Je, Mungu anatutaka tufanye nini? Kuwa wenye matendo ya haki, upendo, huruma na kutembea kwa utiifu wa Mungu wetu. #Salakwakilamtu #malengoyaulimwengu “Binadamu wote wanategemea kutambua

ubinadamu katika wanadamu wengine” – Archbishop Desmond Tutu #Salakwakilamtu #malengoyaulimwengu Hatuwezi kumpenda Mungu ikiwa

hatupendi wenzetu – Dorothy Day #Salakwakilamtu #malengoyaulimwengu  

Related Contents


Next Show more