lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu ambaye hutaka watu wote waokolewe na kupata kujua yaliyo kweli 1Timotheo 234 ID: 810912
Download The PPT/PDF document "“ Hili ni zuri , nalo" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.
Slide1
“
Hili
ni
zuri
, nalo
lakubalika
mbele
za
Mungu
Mwokozi
wetu
;
ambaye
hutaka
watu
wote
waokolewe
,
na
kupata
kujua
yaliyo
kweli
”
(
1Timotheo 2:3-4
)
Slide2“
‘
maana
sisi
hatuwezi kuacha kuyanena mambo tuliyoyaona na kuyasikia’ ”(Matendo 4:20)
Slide3“
Akawaambia
, Nifuateni,
nami
nitawafanya kuwa wavuvi
wa watu’ ”(Mathayo 4:19)
Slide4“
Ungameni
dhambi zenu
ninyi
kwa ninyi, na kuombeana
, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii”(James 5:16)
Slide5“
Hata
walipokwisha
kumwomba
Mungu, mahali pale walipokusanyika pakatikiswa, wote wakajaa Roho Mtakatifu, wakanena neno la Mungu kwa ujasiri”(Matendo 4:31)
Slide6“
lakini
kazi
hizi zote
huzitenda Roho huyo mmoja,
yeye yule, akimgawia kila mtu peke yake kama apendavyo yeye”(1 Wakorintho 12:11)
Slide7“
‘
ndivyo
litakavyokuwa
neno langu
, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika
mambo yale
niliyolituma
’
”
(
Isaya
55:11)
Slide8“
Na
alipowaona makutano
, aliwahurumia
, kwa sababu
walikuwa wamechoka na kutawanyika kama kondoo wasio na mchungaji” (Mathayo 9:36)
Slide9“
Mwe
tayari siku
zote
kumjibu kila mtu
awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu; lakini kwa upole na kwa hofu”(1 Peter 3:15)
Slide10“
dipo
alipowaambia
wanafunzi wake,
Mavuno ni
mengi, lakini watenda kazi ni wachache.Basi mwombeni Bwana wa mavuno, apeleke watenda kazi katika mavuno
yake
’
”
(
Mathayo
9:37-38)
Slide11“
Nimewaandikia
ninyi mambo hayo,
ili
mjue ya kuwa mna
uzima wa milele, ninyi mnaoliamini Jina la Mwana wa Mungu” (1 Yohana 5:13)
Slide12“
Kisha
nikaona
malaika
mwingine, akiruka
katikati ya mbingu, mwenye Injili ya milele, awahubiri hao wakaao juu
ya
nchi
,
na
kila
taifa
na
kabila
na
lugha
na
jamaa
,
akasema
kwa
sauti
kuu
,
Mcheni
Mungu
,
na
kumtukuza
,
kwa
maana
saa
ya
hukumu
yake
imekuja
.
Msujudieni
yeye
aliyezifanya
mbingu
na
nchi
na
bahari
na
chemchemi
za
maji
’
”
(
Ufunuo
14:6-7)
Slide13“
Iweni
na
nia iyo
hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu; ambaye yeye mwanzo
alikuwa
yuna
namna
ya
Mungu
,
naye
hakuona
kule
kuwa
sawa
na
Mungu
kuwa
ni
kitu
cha
kushikamana
nacho;
bali
alijifanya
kuwa
hana
utukufu
,
akatwaa
namna
ya
mtumwa
,
akawa
ana
mfano
wa
wanadamu
”
(
Wafilipi
2:5–7)