Somo la 9 kwa ajili ya Agast 29 Kutafuta mioyo iliyotayari kupokea Kuongea maneno ya pongezi Kuhimiza mtazamo chanya Kuwapokea watu Kufundisha kwa ID: 812615
Download The PPT/PDF document "KUJENGA MTAZAMO UNAOONGOA" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.
Slide1
KUJENGA MTAZAMO UNAOONGOA
Somo
la 9
kwa
ajili
ya
Agast
29
Slide2Kutafuta mioyo iliyotayari kupokea
Kuongea
maneno ya pongeziKuhimiza mtazamo chanyaKuwapokea watuKufundisha kwa pendo
Yesu alimweshimu kila mmoja Aliyekutana nayena kuwajali kwa heshima. Alikuwa mwenye ushawishi kwao, kwa namna alivyowasogeza karibu na Ufalme wa Mungu.Tunaweza kujifunza namna ya kuwajali watu kama Yesu kwa kufuata mfano wake na mafundisho ya mitume.
Tunawezaje kujenga mtazamo unaoongoa tunapoihubiri Injili?
Slide3KUTAFUTA MIOYO ILIYOTAYARI KUPOKEA
“
Naye alikuwa hana budi kupita
katikati ya Samaria.” (Yohana 4:4)Kwa kawaida Wayahudi walikuwa wakipita njia nyingine walipokuwa wakitoka Yerusalemu kwenda Galilaya ili tu wasipite katikati ya Samaria. Badaye kwanini Yesu alihitaji kupita katikati ya eneo hilo?
Wasamalia
walikuwa wakifuata ibada
ya kweli na ya uongo. Hii
ndiyo maana hawakushirikishwa katika ujenzi wa
Hekalu pamoja na Waisraeli (Ezra 4:1-4).
Wanafunzi
hawakuona
maana
yoyote
ya
kuhubiri katika eneo hilo adui. Hata hivyo, Roho Mtakatifu alikuwa akifanya kazi katika mioyo ya Wasamaria ili kuwafanya waupokee ujumbe.
Kwahiyo, Yesu alihitaji kuupandikiza ukweli hapa. Kupanda huko kulileta matunda yake ya mwanzo mapema, na mavuno mengi badaye (Yohana 4:39-41; Acts 8:5-25).
Slide4KUONGEA MANENO YA PONGEZI
“
Ametenda alivyoweza; ametangulia kuupaka mwili wangu marhamu kwa
ajili ya maziko.” (Marko 14:8)Kwa namna iliyo tofauti, maneno ya pongezi yatawaimarisha watu na kuwafanya wakuze imani zao.
Katika
Mathayo 15:21-28, mwanamke Mkananayo alimwijia
Yesu akiwa na ombi, na hakuwa tayari
kupokea jibu la “hapana”. Yesu alimpongeza mbele
ya wanafunzi Wake; Akamwambia, “imani yako ni
kubwa
!”
Yesu
pia
alimpongeza
Mariamu
baada ya kukosolewa kikali kwa sababu ya kitendo chake kwa Yesu: “Ametangulia kuupaka mwili wangu marhamu kwa ajili ya maziko.” (Marko 14:8)Mtazamo
wa kikatili na uliohasi utawaongoza watu mbali nasi. Hawatahitaji kusikia ushuhuda wetu.
Slide5“
Ndugu
imetupasa
kumshukuru
Mungu
siku
zote
kwa
ajili
yenu
,
kama
iliivyo
wajibu
kwa
kuwa
imani
yenu
inazidi
sana,
na
upendo
wa
kila
mtu kwenu kwa mwenzake umekuwa mwingi.” (2 Wathethalonike 1:3)
KUHIMIZA MTAZAMO
CHANYA
Paulo
aliandika
barua
zake
kuyatia
moyo
na
kuyaimarisha
makanisa
mahalia
.
Wakati
mwingine
kuwakaripia
kwa
sababu
ya
makosa
yao
,
lakini
daima
aliwahimizia
kwanza
mtazamo
chanya
ndani
yao
.
Ni
mhimu
kuhamasisha
tabia
ya
kutafuta
mambo
mema
kwa
watu
.
Kwa
njia
hii
tutatengeneza
minyororo
imara
ya
urafiki
na
tutawaleta
karibu
na
Kristo
.
Slide6KUWAPOKEA WATU
“
Kwa hiyo mkaribishane ninyi kwa
ninyi, kama naye alivyotukaribisha , ili Mungu atukuzwe.” (Warumi 15:7)Ni nani anayetujua vizuri zaidi ya Kristo?Anayajua mema na mabaya
yetu. Licha ya hayo, bado Anatupokea, Anatusamehe, na Anatupenda.Hatustahili kupokelewa Naye, lakini Anatupokea katika wema Wake.Je, haitupasi kuwapokea wengine kama Mungu anavyotupokea?
Ni
lazima tumpokee kila mmoja. Si kwa sababu
ya kiasi gani walivyo wema au waovu
, lakini kwa sababu Kristo Alitupokea kwanza (hata
kama
tulikuwa
waovu
).
Mtazamo
wa
kukubalika na wa upendo utafungua mioyo na kubadilisha maisha ya wale wanaotuzunguka.
Slide7KUFUNDISHA KWA UPENDO
“
Mwe tayari siku zote kumjibu kila mtu
awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu; lakini kwa upole na kwa hofui.” (1 Petro
3:15)Kufundisha ukweli pasipo upendo kutaongozakatika mashtaka ya kisheria au katika uvumilivu usio na maana.Kufundisha ukweli kwa upendo huteka mioyo na kuwaongoza watu mahusiano na Yesu yanayookoa.Inatupasa kuwa tayari
kukilinda kile tunachoamini kwacho. Hata hivyo,
daima inatubidi kufanya hivyo kwa unyenyekevu,
heshima , na upendo.Waonyeshe wengine
upendo ule ule Kristo aliotuonyesha sisi.
Mwombe
Roho
Mtakatifu
atuongoze
kwa
watu wenye mioyo ya upokeaji. Hatimaye himiza mambo mema tuyaonayo ndani yao, wakubali pasipo kuwapinga, na uwafundishe kwa upendo.
Slide8“Wakati tulipokuwa bado
hatujapendwa
na bila uzuri wowote katika tabia, ‘wenye chuki
, na tukichukiana sisi kwa sisi,’ Babab yetu wa mbinguni bado anaturehemu […] Upendo wake uliopokelewa, utatufanya, kufanana kitabia, wema na
wenye huruma, siyo tu kwa wale wanaotuomba, lakini zaidi kwa wale wenye hatia na wakosefu na wenye dhambi […]
Hata wadhambi ambao
mioyo yao haijaunganishwa
zaidi kwa Roho
wa Mungu,
itaitikia
kwa
wema
;
wakati
wanatoa
chuki kwa chuki, watatoa pia upendo kwa upendo. Lakini ni Roho
wa Mungu pekee ndiye anayetoa upendo palipo na chuki. Kuwa mwema
kwa
asiye
na
shukurani
na
mwovu
,
kutenda
wema
bila kutarajia chochote, ni heshima ya kifalme ya mbinguni, ishara thabiti ambayo wana wa Aliye Juu hufunua mali zao juu.”E.G.W. (Thoughts From the Mount of Blessing, cp. 3, p. 75)