Somo la 9 kwa ajili ya Desemba 1 2018 Na neno hilo yeye hakulisema kwa nafsi yake bali kwa kuwa alikuwa Kuhani Mkuu mwaka ule ID: 804882
Download The PPT/PDF document "UTHIBITISHO UNAOSHAWISHI ZAIDI" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.
Slide1
UTHIBITISHO UNAOSHAWISHI ZAIDI
Somo la
9
kwa ajili ya Desemba 1
, 2018
Slide2“
Na neno
hilo yeye hakulisema kwa nafsi yake; bali kwa kuwa alikuwa Kuhani Mkuu mwaka ule, alitabiri ya kwamba Yesu atakufa kwa ajili ya taifa hilo. Wala si kwa ajili ya taifa hilo tu; lakini pamoja na hayo awakusanye watoto wa Mungu waliotawanyika, ili wawe wamoja”(Yohana 11:51-52)
Slide3KUUNGANA KATIKA KRISTO
KUUNGANA KATIKA UPATANISHO
KUUNGANA KATIKA UTENDAJI
KUUNGANA KATIKA TOFAUTIKUNGANA KATIKA UTUMETunapokubali wokovu alioutoa Yesu msalabani, tunaunganishwa katika yeye ndani ya agano. Tunapatanishwa na Mungu na wanadamu pia. Maisha yetu yanabadilishwa. Waumini tunaungana katika utume mmoja na kuweka kando tofauti zetu.
Slide4KUUNGANISHWA KATIKA KIRISTO
“Yaani
,
kuleta madaraka ya wakati mkamilifu atavijumlisha vitu vyote katika Kristo, vitu vya mbinguni na vitu vya duniani pia. Naam, katika yeye huyo.” (Waefeso 1:10)Tunaokolewa kwa kifo na ufufuo wa Yesu. Tunaunganishwa katika Kristo tunapokubali wokovu.Lengo la pili la mpango wa wokovu linatimizwa maana tumeunganishwa katika Mwokozi : “awakusanye watoto wa Mungu waliotawanyika.” (Yohana 11:52)Tunapobatizwa, tunakubali hadharani, na muunganiko kati yetu na ndugu na dada wapya unatengenezwa.“Bwana mmoja, Imani moja, Ubatizo mmoja; Mungu mmoja na Baba wa wote, aliye juu ya wote, na kupitia wote, na ndani yenu nyote.” (Waefeso 4:5-6)
Slide5KUUNGANISHWA KATIKA UPATANISHO
“
Lakini
vyote pia vyatokana na Mungu, aliyetupatanisha sisi na nafsi yake kwa Kristo, naye alitupa huduma ya upatanisho.” (2 Wakorintho 5:18)Kifo cha Yesu kiliangusha ukuta uliotenganisha Wayahudi na Wamataifa. Walipatanishwa na kuwa jamii moja (Waefeso 2:13-16).Mungu anataka kuwaunganishwa watoto wake wote. Huduma ya upatanisho huhusisha sura tatu:Kwa kadri kanisa linavyopalilia umoja na upatanishi, ulimwengu unaona namna ya kutenda kazi ya Hekima ya Mungu ya milele (Waefeso 3:8-11).
Slide6KUUNGANISHWA KATIKA UTENDAJI
“Yeye
asemaye
ya kuwa anakaa ndani yake, imempasa kuenenda mwenyewe vile vile kama yeye alivyoenenda.” (1 Yohana 2:6)Kumkubali Yesu sio tu ukubali wa akili. Tendo hili hubadilisha maisha yetu katika namna ya matendo.Hisia zetu na tabia vinabadilika, na umoja unaimarika.Maisha yaliyobadilishwa na nguvu ya Roho Mtakatifu ni ushuhuda ukiona nguvu zaidi kwa ulimwengu(1 Petro 2:11-12).Biblia huelezea jinsi maisha yanavyobadilisha. Kwa mfano
,
tazama
Waefeso
4:25-5:2, Colossians 3:1-17,
Mathayo
7:12,
Wagalatia
6:2, 1
Petro
3:3-4, 1
Wakorintho
10:31…
Slide7KUUNGANISHWA KATIKA UTENDAJI
Kwa mujibu wa mafungu yaliyopita, Je; Ni mambo gani imewapasa wakristo
kuacha?
Slide8KUUNGANISHWA KATIKA UTENDAJI
Kwa
mujibu
wa mafungu yaliyopita, Ni mambogani wakristo wanapaswa kuyafanya?
Slide9KUNGANISHWA KATIKA TOFAUTI
“
Yeye
aadhimishaye siku, huiadhimisha kwa Bwana; naye alaye, hula kwa Bwana, kwa maana amshukuru Mungu; tena asiyekula, hali kwa Bwana, naye pia amshukuru Mungu.” (Warumi 14:6)Katika Warumi 14-15, Paulo anashughulikia maswala yaliyokuwa yakisababisha mgawanyiko katika kanisa mahalia huko Rumi.Hayo yalikuwa ni maswala ya kitabia, desturi na matatizo ya nafsi. Kwa mfano, kuazimisha sikukuu, siku za kufunga, kutokula nyama zilizotolewa kafara kwa sanamu…Paulo alizishauri pande zote kuwa wavumilivu, kwa sababu hayo hayakuwa maswala yahusuyo wokovu.Huo ni ushauri wenye hekima.
Unaweza
kutusaidia
kuhifadhi
umoja
kanisani
leo
.
Slide10KUUNGANISHWA KATIKA UTUME
“
Hata ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja
.” (Matendo 2:1)Siku kadhaa kabla ya pentekoste, wanafunzi walikuwa wanajaribu kuwa wakuu kuliko wengine(Luka 22:24).Ilikutimiza utume wao (Matendo 1:8), iliwapasa kuyakataa mawazo hayo na kutafuta umoja. Je; Walifnyaje?Walimwendea Mungu katika maombi na kusameheana. Wakaacha kurushiana lawama kwa makosa yao. Hakuna aliyemtuhumu Petro kwa kumkana Yesu, Yakobo na Yohana kwa kuwa wabinafsi, au Tomaso kwa kuwa na mashaka.Tuwezaje kujifunza kuweka kando makosa ya wengine, Yote hayo kwa ajili ya kukamilisha kazi ya utume?
Slide11“Ombi la K
risto linapoaminiwa kikamilifu, maagizo
yake
yanapowekwa katika maisha ya kila siku ya watu wa Mungu, umoja wa matendo utoonekana katika ngazi zetu. Ndugu ataunganishwa kwa ndugu kwa kiungo cha dhahabu cha upendo wa Kristo. Roho wa Mungu pekee anaweza kuleta huu umoja. Yeye aliyejitakasa mwenyewe anaweza kuwatakasa wanafunzi wake. Wakiunganishwa pamoja naye, wataunganishwa wao kwa wao katika Imani takatifu sana. Tunapopambana kwa ajili ya huu umoja sawasawa na mapenzi ya Mungu anavyotaka tuipambanie, itatujia.”E.G.W. (Counsels for the Church, cp. 4, p. 45)