/
“ili wote wawe na umoja” “ili wote wawe na umoja”

“ili wote wawe na umoja” - PowerPoint Presentation

rouperli
rouperli . @rouperli
Follow
364 views
Uploaded On 2020-08-27

“ili wote wawe na umoja” - PPT Presentation

Lesson 3 for October 20 2018 Yesu aombea umoja Umoja kati ya Yesu na Baba Yohana 1715 Umoja miongoni mwa wanafunzi Yohana 17619 Umoja miongoni mwetu Yohana 172026 ID: 805487

yesu umoja baba kwa umoja yesu kwa baba kama yohana ili wawe mungu yetu ukweli sisi ndani miongoni kuwa

Share:

Link:

Embed:

Download Presentation from below link

Download The PPT/PDF document "“ili wote wawe na umoja”" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.


Presentation Transcript

Slide1

“ili wote wawe na umoja”

Lesson 3 for October 20, 2018

Slide2

Yesu aombea

umoja

Umoja kati ya Yesu na Baba. Yohana 17:1-5 Umoja miongoni mwa wanafunzi. Yohana 17:6-19 Umoja miongoni mwetu. Yohana 17:20-26Umoja leo Umoja miongoni mwa wakristo. Marko 9:38-41 Umoja katika pendo. Yohana 13:34-35

Yesu aliwaombea wanafunzi wake (nasisi pia) kwa baba yake kabla kusulubishwa kwake.

Ombi hili hujulikana kama ombi la ukuhani mkuu. Umoja ni mojawapo ya mada zake.

Slide3

UMOJA KATI YA YESU NA BABA

Nami utukufu ule ulonipa nimewapa wao, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja.” (Yohana 17:22)Yesu alifanya mapenzi ya Baba kwa kujitoa kafara kwa ajili yetu

. Hivyo ndivyo alivyomtukuza Baba naye akatukuzwa na Baba wakati uo huo.Kafara hiyo ya kujitolea ya Yesu hutupatia uzima wa milele. Na uzima wa milele ni kumjua Mungu. (f. 3).Yesu alianza

na ombi atukuzwe ili Baba atukuke. Je Yesu alitukuzwaje?Uhusiano na Mungu matokeo yake ni umoja kama ule umoja baina ya Yesu na Baba. Umoja huu ni wa milele.

Slide4

UMOJA MIONGONI MWA WANAFUNZI“

Wala

simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni,nami naja kwako. Baba mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi

tulivyo” (Yohana 17:11)`Kuwa umoja, kuwa na furaha, kukaa mbali na uovu na kutii ukweli

. Hayo sio mambo ambayo wangeweza kufikia wao wenyewe. Baba ndiye pekee ambaye angeweza kutimiza

sala hiyo.Matokeo:

ushuhuda wa

ufanisi na injili

kuenea

Ili wawe na Umoja kama Baba na yeye(f. 11)

Ili wafurahi katika yeye (f. 13)

Ili waepushwe na uovu (f. 15)

Ili watakaswe na kweli (f. 17)

Yesu

alikuwa na

wasiwasi

juu ya

wanafunzi

wake, kwa

sababu

wanaweza

kupoteza

imani yao baada ya kuondoka kwake. Kwa hiyo, alimwomba Baba kuwajali na aliuliza vitu vingine vinne:

Slide5

UMOJA MIOGONI MWETU

Wala si hao tu ninaowaombea; lakini na wale watakaoniamini kwa sababu ya neon lao. Wote wawe na umoja; kama wewe,Baba, ulivyo ndani yangu, name ndani yako; hao nao

wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.” (Yohana 17:20-21)

Yesu alikuwa anakuwaza wewe kabla ya kujitoa kama Kafara.Yesu alikuwa na shauku kubwa kwetu.Yesu alitamani sisi tuwe umoja kama utatu mtakatifu ulivyo.

Umoja huo utawashawishi watu

kwamba Yesu ndiye mwokozi..Na

tutakuwa wamoja milele. Maana Yesu “hao

ulonipa nataka wawe pamoja name popote

nilipo.” (f. 24)

Slide6

UMOJA MIONGONI MWA WA KRISTO

Yohana akajibu, akamwambia, Mwalimu, tulimwona mtu akitoa pepo kwa jina lako, ambaye hafuatani

nasi; tukamkataza kwa sababu hafuatani nasi.’” (Marko 9:38)Je sentensi hii ina ukweli? “Ikiwa mtu hakubali ukweli twajua, yeye si mkristo halisi.”Sisi ndio

Kanisa la masalio lililotabiriwa, lakini hilo halitufanyi kuwa eti sisi pekee ndio wakristo wa Kweli duniani.Mungu ajua walio wake (2 Timotheo 2:19), na ana watu kila taifa (na dini) wanaomuabudu (Matendo 10:34-35). Hivyo basi, tunapaswa kutafuta umoja baina yetu na wale wote wanaomwamini mwokozi huyu mmoja.Umoja msingi wake ni uwiano wa kijamii. Umoja haupaswi kuathiri imani yetu.Umoja hutoa nafasi ya kushiriki ukweli wa

Biblia

Slide7

UMOJA KATIKA PENDO

“Hivyo

watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi.” (Yohana

13:35)By this all will know that you are My disciples, if you have love for one another.” (John 13:35)Yesu hakuwa akizungumzia upendo wa kinadharia, lakini ni moja ya vitendo: "Ikiwa unanipenda, shika amri zangu" (Yohana 14:15).Maisha ya kristo ni mfano wa utii, upendo na kujikana nafsi kwa ajili ya wengine. Maisha

yetu lazima yawe kama yake.Huu upendo ndio mshikamano chipuza umoja. Umoja huu ndiyo ushuhudu wa nguvu kumjulisha mungu duniani.

“zaidi ya

hayo yote jivikeni

upendo, ndio kifungo cha ukamilifu.” (wakolosai 3:14).

Yesu alitupatia amri moja tu, “mpendane ; kama vile nilivyowapenda

ninyi” (Yohana 13:34; 15:12). Kupendana halikua jambo

jipya, ila kule kupenda kama Yesu

alivyotupenda

.

Slide8

"Utakaso huja kupitia

kweli; umoja na Kristo-hili ni kusudi la Mungu kwetu. Kwa utakaso wao na umoja wao, Wakristo wanapaswa kutoa ushahidi kwa ulimwengu kuwa kazi kamili imefanywa kwao, na kupitia Kristo. Hivyo wanapaswa kushuhudia kwamba Mungu alimtuma

Mwanawe kuokoa wenye dhambi.Je, hutamruhusu Kristo aendeleze kazi hii ya utakaso ndani ya mioyo yenu? Ili nyote muwe kamili

ndani yake. Una uhakika kwamba kwa njia ya utakaso wa ukweli unaweza kufanywa kamili katika moja. "E.G.W. (Tazama Juu, Januari 17)

Related Contents

Next Show more