/
MSINGI WA UMOJA Somo   kwa MSINGI WA UMOJA Somo   kwa

MSINGI WA UMOJA Somo kwa - PowerPoint Presentation

stylerson
stylerson . @stylerson
Follow
356 views
Uploaded On 2020-08-27

MSINGI WA UMOJA Somo kwa - PPT Presentation

ajili ya Oktoba 27 2018 akiisha kutujulisha siri ya mapenzi yake sawasawa na uradhi wake alioukusudia katika yeye huyo Yaani ID: 806182

katika umoja waefeso kwa umoja katika kwa waefeso wengine mungu kristo kanisa vitu kuwa ili roho watu yao vya

Share:

Link:

Embed:

Download Presentation from below link

Download The PPT/PDF document "MSINGI WA UMOJA Somo kwa" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.


Presentation Transcript

Slide1

MSINGI WA UMOJA

Somo

kwa

ajili

ya

Oktoba

27, 2018

Slide2

akiisha

kutujulisha siri ya mapenzi yake, sawasawa na uradhi wake, alioukusudia katika yeye huyo. Yaani, kuleta madaraka ya wakati mkamilifu atavijumlisha vitu vyote katika Kristo, vitu vya mbinguni na vitu vya duniani pia. Naam, katika yeye huyo” (Waefeso 1:9-10)

FUNGU KIONGOZI

Slide3

Msingi wa umoja

Umoja katika Krsito. Waefeso 1:3-14. Umoja pasi na mipaka. Waefeso 2:11-22.Nyanja za Umoja Kanisa na umoja. Waefeso 4:1-6. Viongozi wa kanisa na umoja. Waefeso 4:11-12. Mahusiano na umoja. Waefeso 5:15-6:9.Umoja ni moja ya mada ambazo Paulo anaandika katika nyaraka zake kwa waefeso.Watu wa rangi na tamaduni tofauti walikiuwa sehemu ya kanisa huko Efeso. Paulo aliwafundisha msingi wa Umoja, ili wafanye kazi pamoja.Umoja huhusisha Nyanja zote za maisha.

Slide4

UMOJA KATIKA KRISTO

Yaani, kuleta madaraka ya wakati mkamilifu atavijumlisha vitu vyote katika Kristo, vitu vya mbinguni na vitu vya duniani pia. Naam, katika yeye huyo.” (Waefeso 1:10)Mungu anataka kuziba ufa ulioletwa na dhambi, ili wanawe wote wawe wamoja tena katika Kristo.Hadi sasa, Mungu aliamua kutuasili kama Watoto wake. Tukawa sehemu ya familia yake (fg.5)Hii humaanisha kuwa, kila mmoja amewekewa hatima ya wokovu (Yohana 3:16; 1 Timotheo 2:6; 2 Petro 3:9)Tunapoipokea hatima hii ya wokovu, Mungu hutupatia Roho Mtakatifu kama dhamana ya ahadi Yake (fg.13-14)

Slide5

UMOJA PASI NA MIPAKA

“Kwa

maana yeye ndiye amani yetu, aliyetufanya sisi sote tuliokuwa wawili kuwa mmoja; akakibomoa kiambaza cha kati kilichotutenga.” (Waefeso 2:14)Kulikuwa na ishara kuu hekaluni zilizowazuia wasio Wayahudi kuingia sehemu zilizotengwa kwa ajili ya Wayahudi.Msalaba uliangusha kila ukuta, ukikomesha utengano. Ukiwatahiri wayahudi na mataifa kwa tohara ya moyoni.Mungu alifanya agano la ahadi na wana wa Israeli na kuwapa tohara kama ishara ya agano.Israeli hawakuishiriki ahadi hii na wengine badala yake walijenga ukuta zuizi ili kuwatenga mataifa..Tu watu wa moja, tuliounganisha katika “Hekalu takatifu” “kwa Roho moja” (fg.21, 18)

Slide6

KANISA NA UMOJA

na kujitahidi kuuhifadhi umoja wa Roho katika kifungo cha amani.” (Waefeso 4:3)Tumeitwa kushirikiana ili kuleta umoja wa Kristo kanisani.Je; Ni nini tunaweza kufanya katika mwelekeo huo (fg.1-3)?Enenda kwa heshimaMchukuliane kwa unyenyekevu na upoleMruhusuni Roho Mtakatifu atende ili kudumisha amaniJe; Ni kipi kati ya mambo haya saba huwaweka waumini pamoja (fg.4-6)?

Slide7

VIONGOZI WA KANISA NA UMOJA

Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu; kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke, hata mwili wa Kristo ujengwe; .” (Waefeso 4:11-12)Paulo aliorodhesha aina tano za karama zinazowawezesha viongozi kuliongoza kanisa katika malengo mawili mahususi :Kuwaanda watakatifu kwa ajili ya kazi ya utume. Kumsaidia kila mshiriki kuhubiri injili.Kuujenga mwili wa Kristo. Kuhamasisha umoja katika Christo.Mungu hutoa karama hizi kwa watu maalumu. Watu hawa wameitwa kuwahudumia wengine na kushirikiana na wengine (Marko 10:43)

Slide8

MAHUSIANO NA UMOJA

hali mnanyenyekeana katika kicho cha Kristo.” (Waefeso 5:21)Paulo anatuhimiza “tujazwe na Roho” (fg.18). Tutaunganishwa katika Roho kwa kunyenyekeana.Hii huhusisha nyaja tatu za maisha:

Slide9

“Mungu anatukuzwa na

nyimbo

zitokazo katika moyo safi uliojaa upendo na kujitoa Kwake. Waumini waliotakaswa wanapokusanyika, mazungumzo yao hayatakuwa juu ya mapungufu ya wengine au yenye ladha ya manung’uniko au lawama; upendo, muunganiko wa ukamilifu, vitawazunguka. Upendo kwa Mungu na kwa wanadamu wenzao hububujika kwa asili katika maneno ya upendo, huruma, na kuguswa na mizigo yao. Amani ya Mungu hutawala mioyo yao; maneno yao sio tupu na mepesi, bali yenye kufariji na kuwajenga wengine.”E.G.W. (Testimonies for the Church, vol. 1, cp. 86, p. 509)

Related Contents

Next Show more