/
KUJIANDAA KWA AJILI YA  MABADILIKO KUJIANDAA KWA AJILI YA  MABADILIKO

KUJIANDAA KWA AJILI YA MABADILIKO - PowerPoint Presentation

cappi
cappi . @cappi
Follow
354 views
Uploaded On 2021-01-27

KUJIANDAA KWA AJILI YA MABADILIKO - PPT Presentation

Somo la 3 kwa Aprili 20 2019 Haki itakwenda mbele zake Nayo itazifanya hatua zake kuwa njia Zaburi 8513 Kujindaa kwa Mabadiliko ID: 830261

mungu kwa kuwa kujiandaa kwa mungu kujiandaa kuwa katika hata maisha ajili kama wakati kifo mabadiliko uzee kwamba wako

Share:

Link:

Embed:

Download Presentation from below link

Download The PPT/PDF document "KUJIANDAA KWA AJILI YA MABADILIKO" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.


Presentation Transcript

Slide1

KUJIANDAAKWA AJILI YA MABADILIKO

Somo la 3

kwa

Aprili

, 20 2019

Slide2

“Haki itakwenda

mbele

zake

,

Nayo

itazifanya

hatua

zake

kuwa

njia

(

Zaburi

85:13)

Slide3

Kujindaa kwa MabadilikoKujiandaa kwa ndoa

Kujiandaa

kwa MaleziKujiandaa kwa UzeeKujiandaa kwa kifo

Maisha yetu mara nyingi yanaongozwa na mizunguko ya kawaida. Hata hivyo mara nyingine mabadiliko hurekebisha kawaida hizo. Mbabadiliko hayo yanaweza kuwa ama yasiotegemewa au yanayotarajiwa Hebu tujifunze katika Biblia ni jinsi gani inatusaidia kujiandaa kwa mabadiliko, na hasa yale yanayotarajiwa

Slide4

KUJIANDAA KWA AJILI YA MABADILIKO“Basi mambo hayo yaliwapata wao

kwa

jinsi ya mifano, yakaandikwa ili kutuonya sisi, tuliofikiliwa na miisho ya zamani.” (1

Wakorintho 10:11)Tunaweza kujiandaa vizuri kukabiliana na mabadiliko yoyote? Ndiyo, tunaweza kujiandaa—ingawa tunaweza kushindwa wakati tuunapokabiliana na mabadiliko maalum, kwa sababu si wakamilifu.Muhimu ni kujifunza kuwa na mahusiano na Mungu kila siku. Kwa njia hiyo, tunaweza kukabiliana na mabadiliko kwa imani na ujasiri. Tutakuwa tayari kumtii Mungu bila kujali hali au majaribu yatakayotuijia.Paulo alikumbuka historia ya Israeli jangwani. Waliwezaje kukabililiana na ukosefu wa maji ya kunywa, kutokuwepo kwa Musa, au ukaribisho wa mwanamke Mmoabu? (1 Wakorintho 10:1-13).

Slide5

KUJIANDAA KWA ajili ya MABADILIKO“Basi

mambo

hayo

yaliwapata wao kwa jinsi ya mifano, yakaandikwa ili kutuonya sisi, tuliofikiliwa na

miisho ya zamani.” (1 Wakorintho 10:11)Kuna mifano ya watu katika Biblia ambao walikabiliana ama kwa chanya au hasi kwa mabadilko yasiyotegemewa:

Slide6

KUJIANDAA KWA AJILI YA NDOA“Apataye mke

apata

kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa BWANA.” (Mithali 18:22)Watu wengi

wanaoana-ingawa si kila mmoja huoa/kuolewa. Biblia inashughulikia mada hii tangu mwanzo wa kurasa zake za (Mwanzo 2:24).Ndoa inamleta mwanaume na mwanamke pamoja kuwa taasisi moja. Mahusiano hayo ni imara kuliko yale na wazazi wetu au na mtu mwingine yeyote yule., lakini haiwafuti.Hatua ya kwanza ya maandalizi ya ndoa ni kuwa mtu bora. Hatua ya pili ni kutafuta mwenzi bora.

Slide7

KUJIANDAA KWA NDOA

Apataye

mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa BWANA.” (Mithali 18:22)Soma

mafungu yafuatayo na jiulize mwenyewe maswali yanayofuata juu ya mwenzi wako wa baadae. Je, wewe mwenyewe utashinda pia mtihani huu kama mwenzi wa baadae?

Slide8

“Hebu msichana amkubali kama mwenza wa maisha kama tu kijana

ambaye

ana tabia safi, sifa za Kiungu, yule ambaye ni mtiifu, bidii, mwaminifu, anayempenda na kumcha Mungu. Hebu

mvulana atafute msichana yule ambaye anaweza kusimama pembeni mwake ambaye anafaa kubeba sehemu ya mizigo ya maisha yake, ambaye ushawishi wake utavutia na kumbadilisha, na ambaye atamfurahisha katika pendo lake.E.G.W. (Messages to Young People, cp. 148, p. 435)

Slide9

KUJIANDAA KULEA“Mlee mtoto wako katika njia

impasayo

, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.” (Mithali 22:6)Kuzaliwa kwa mtoto ni mabadiliko makubwa kwa wazazi. Furaha, majukumu, kuchanganyikiwa …

Bila kujali ni watoto wangapi, kila mmoja ni maalum na kipekee, zawadi toka kwa Mungu, Uwe unaamini au la (Zaburi 127:4).Kulingana na Biblia, tunawezaje kujiandaa na malezi?1 Samueli 1:27. Muda wote muombee, hata kabla ya kujifunguaWaamuzi 13:7. Jihadhahari na chakula chako na afya yako wakati wa ujauzito, na usiiache baada ya kujifunguaLuka 1:6. Jitenge mbali na dhambi.Luka 1:41. Omba uongozi wa Roho Mtakatifu-.Luka 1:46-47. Mshukuru Mungu kwa karama ya maisha mapya.Luka 1:76. Lengo lako kuu liwe kumlea mtoto wako katika njiaambayo atakuwa mwana au binti halisi wa Mungu.

Slide10

“Juu ya baba na mama yamewekwa majukumu ya kumfundisha mtoto katika maisha

yake

ya utotoni na ya baadae, na wazazi wote kuwa na maandalizi makini na kamilifu ya mahitaji

ni muhimu sana. Kabla ya kufanya uamuzi wa ubaba na umama, wanaume na wanawake wanapaswa kuwa na ufahamu wa kanuni za ustawi wa kimwili- kisiolojia na kiafya, jinsi ya kuchukuliana na hali ya ujauzito, kanuni za urithi, usafi wa mazingira, mavazi, mazoezi, tiba ya maradhi, wanatapaswa pia kuelewa sheria za kukua wa akili na mafundisho ya maadili.”E.G.W. (Child Guidance, cp. 8, p. 63)

Slide11

KUJIANDAA KWA AJILI YA UZEEMkumbuke Muumba wako siku za ujana

wako

,

Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo.” (

Mhubiri 12:1)Maandalizi kwa uzee yanaanza kwenye ujana.Tabia tulizozipata kwenye ujana na utu uzima zina athari ya jinsi gani tutaishi katika uzee wetuKulingana na Zaburi 71, tunawezaje kujiandaa kwa uzee?Kumjua Mungu binafsi na kwa kina(f. 1-7)Kupata tabia njema:Tumaini kwa Mungu (f. 3)Kumsifu (f. 6)Matumaini (f. 14)Shauku kwa ajili ya utume (f. 15-18)

Slide12

“Daudi alibainisha kwamba ingawa maisha ya watu fulani wakiwa katika

nguvu

ya utu uzima yalikuwa ya haki, kadri uzee ulipowajia walionekana kupoteza uwezo wa kujizuia. Shetani aliingia na

kuongoza mawazo yao, na kuwafanya kuwa na wasiwasi na wasioridhika. Aliona kuwa wengi wa wazee walionekana kama kuachwa na Mungu na wakajifunua wenyewe kwa vituko na matusi kwa adui zake. Daudi alitafakari sana; aliona shida alivyoangalia mbele wakati ambapo angepaswa kuwa mzee. Aliogopa kwamba Mungu atamwacha na kwamba angekuwa asiye na furaha kama wazee wengine wenye umri ambao aliwaona katika mapito yao, na angeachwa na kuwa aibu ya

maadui wa Bwana. Kwa

mzigo huu ukiwa

juu yake yeye

anaomba kwa bidii

: "Usinitupe wakati wa

uzee

;

Nguvu

zangu

zipungukapo

usiniache

.

Ee

Mungu

,

umenifundisha

tokea

ujana

wangu

;

Nimekuweka

nikitangaza

miujiza

yako

hata

leo

. Na

hata

nikiwa

ni

mzee

mwenye

mvi,

Ee

Mungu

,

usiniache

.

Hata niwaeleze watu wa kizazi hiki nguvu zako, Na kila atakayekuja uweza wako." Zaburi 71: 9, 17, 18. Daudi alihisi umuhimu wa kujilinda dhidi ya maovu ambayo hutokea wakat wa uzee.”

E.G.W. (Testimonies for the Church, vol. 1, cp. 77, p. 423)

Slide13

KUJIANDAA KWA AJILI YA KIFO“Kwa sababu walio hai

wanajua

ya kwamba watakufa.” (Mhubiri 9:5)Hakuna mtu yeyote anayeweza kujiandaa kwa kifo cha ghafla (ama chake

mwenyewe au cha mpendwa wake). Ni vigumu kukikubali kifo, hata kama tunakitarajia.Hata hivyo, tunaweza kukisubiri bila woga ikiwa kama itakuwa tumefunikwa na haki ya Kristo kila wakati. (Warumi 4:7).Wakati Daubi alipokaribia kifo, alihakikisha kuwa anaacha urithi bora: alimshauri mtoto wake kufuata njia ya Mungu (1 Wafalme 2:1-3).Tukumbuke kuwa Yesu tayari amekishinda kifo (1 Wakorintho 15:54-55).Kifo hakiepukiki kwa kila mwanadamu, hadi kurudi kwa Yesu mara ya pili (Mwanzo 3:19).

Slide14

“Hauna muda wa kupoteza kwa kudharau wokovu mkuu ambao umetolewa

kwako

.

Wakati wa upelelezi wa mioyo unafikia mwisho. Siku hadi siku, hatima ya watu inafungwa, hata kwenye

kusanyiko hili hatujui ni wangapi macho yao yatafungwa na kifo na kuingia kaburini. Lazima sasa tuzingatie kwamba maisha yetu yanapita haraka; kwamba hatupo salama hata kwa muda mfupi hadi hapo maisha yetu yatapokuwa yamefichwa kwa Mungu na Kristo.E.G.W. (Selected Messages, vol. 1, cp. 23, p. 189)

Related Contents


Next Show more