/
POSTA NA SIMU  SAVINGS AND CREDIT POSTA NA SIMU  SAVINGS AND CREDIT

POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT - PowerPoint Presentation

sistertive
sistertive . @sistertive
Follow
347 views
Uploaded On 2020-10-22

POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT - PPT Presentation

COOPERATIVE SOCIETY LIMITED REGISTRATION DSR 118 POBOX 3948 DAR ES SALAAM TANZANIA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANACHAMA WA TAWI DAR ES SALAAM UKUMBI WA KARIMJEE TAREHE 14OKTOBA2012 NA ID: 815320

mabadiliko biashara chama kwa biashara mabadiliko kwa chama kuanzisha tabia kufanya namna kuwa tofauti kazi mafunzo malengo wanachama maana

Share:

Link:

Embed:

Download Presentation from below link

Download The PPT/PDF document "POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.


Presentation Transcript

Slide1

POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDITCOOPERATIVE SOCIETY LIMITED

REGISTRATION DSR 118 P.O.BOX 3948 DAR ES SALAAM

TANZANIA

Slide2

MAFUNZO YA UJASIRIAMALIKWA WANACHAMA WA TAWIDAR ES SALAAM

UKUMBI WA KARIMJEE

TAREHE 14.OKTOBA.2012

Slide3

NAD.F.NGALAWAManager - Posta na Simu Saccos Ltd.MEED(udsm),PGDEED(udsm),PGDBA

DIRECTOR White angels Primary schoolBright Angels High SchoolLupingu Teachers college Proposed Ludewa Health college

Slide4

Agenda

Utambulisho

Utangulizi

Madhumuni ya somo

Yaliyomo

Namna ya mafunzo

Majadiliano na kazi katika vikundi

Slide5

kujitambulishaViongozi wa Chama SecretariatWashiriki Wataje pia Biashara walizonazo au Wazo la biashara

Slide6

UtanguliziBaada ya mada, washiriki watakuwa: -Wameelewa maana ya ujasiriamaliWana tabia za kijisiriamaliWanamabadiliko JasiriWapo tayari kuanzisha au kuboresha biashara Tayari kufanya mabadiliko ili kuendesha chama kisayansiTayari kushuhudia mabadiliko kt chama

Slide7

Madhumuni ya MadaKutoa elimu ya ujasiriamali na kuwahamasisha washiriki kuanzisha au kuendeleza biashara zaoKuhamasisha na kuwashirikisha wanachama mabadiliko ya kimtazamo na fikraKuzitambua tabia za kijasiria maliKuhusianisha ujasiriamali na maendeleo ya chama Kutambua changamoto za chama na za wanachama za kijasiriamali

Slide8

Yaliyomo ndani ya madaMaana ya ujasiriamali, tabia za kijasiria mali, namna ya kuanzisha, kuendeleza na kurithisha biasharaMahitaji ya mabadiliko ya fikra, dira na mtazamo wa wanachama na mipango Namna ya kuwa mwanamabadiliko mzuri na majukumu ya mwanamabadilikoNamna ya kukiendeleza chama kwa kuanza na maendeleo ya mwanachama

Slide9

Jinsi Mada Itakavyoende….Washiriki watashirikishwa kwa kuchangia madaMajadiliano yatafanyika mara kwa maraVikundi vitapewa kazi ya kufanyaUzoefu na mifano mbalimbali itatolewaKushiriki mafunzo ya ujasiria mali wakati wa mada na baada ya madaKuchagua na kuamua biashara au mradi wa kufanya baada ya mafunzo

Slide10

Maana ya UjasiriamaliUjasiriamali maana yake ni; - Kitendo cha kuanzisha, kuendesha, kufanya biashara ndogo, kwa kujitegemea, Pia, kuimiliki na mwenye biashara kuwa ni mmiliki na mtendaji au meneja wa biashara yako.Kuanzisha na kufanya bisahara kijasiriamali, Kuzingatia tabia za kijasiriamali, siyo kufanya biashara kiholela au bila utaratibu

Slide11

Tabia za kijasiriamaliKuipenda na kuifurahia biasharaKuwa na malengo ya kukuza biasharaKuwa na malengo ya muda mfupi na muda mrefuKuwa na mikakati mizuriKuwa mbunifu na kujitegemeaKuwa na ari na jasiri wa kuthubutuKuwa na mtandao wa watu wengi Kufanya kazi kwa bidii

Slide12

KAZI ZA VIKUNDI DK 10Kila kikundi kiainishe: -Maeneo kumi ambayo pesa za mshahara huwa zinatumika. Anza na eneo linalotumia pesa nyingiMatatizo (problems) kumi ambayo kikundi kama jamii kinakabiliana nayo katika maisha ya kila siku sehemu wanakoishi: - TEMEKE. ILALA KINONDONI

Slide13

Maeneo kumi yanayafanana Chakula………...………..……….……….……….………………

Slide14

1 MSHAHARAChakulaAdaNauliMawasilianoMavaziMatibabuUmeme MajiPango

StareheMaendeleo

Slide15

1 MATATIZOMajiUsafiriMagonjwaMakaziMajangaUchafuNjaaElimuMiundo

mbinuNishati

Slide16

2 MSHAHARAChakulaPangoUsafiriAda/ ElimuMavaziMisaada kwa

jamii Misiba, SadakaSimuMaji/ UmemeStareheMatibabu

Slide17

2 MATATIZOMajiMiundo mbinuKumbi/ StareheHuduma Hospitali, soko

PolisiUsalama wa mali na raia wiziUsafiri

Mfumuko

wa

bei

Ajira

Makazi

bora

Uchafu

wa

mazingira

Slide18

3 MSHAHARAChakulaUsafiriMatibabuPangoAdaMavaziYayaSadaka

StareheMisaada kwa ndugu

Slide19

3 MATATIZOMajiUsafiriUmemeUchafuUlinziHospitaliBarabaraNdugu

Mapumzi

Slide20

4 MSHAHARAChakulaMatibabuAdaMajiUmemeUsafiriMawasilianoPango

Kijamii Harusi Mavazi Uremmbo

Slide21

4 MATATIZOMajiUmemeUsafiriUsalamaMfumuko wa beiMiundombinuUchafu

MagonjwaAjiraHuduma za Afya

Slide22

MifanoRizika na MajaliwaKwenda benki: kwani mnakopesha bei gani?Taasisi zinazokopesha 10%, 20%, 30% kwa mweziTaasisi zinazokopesha 30% 35% 48% kwa mwakaWakopaji wanategemea au wanajiaminia nini???? Sisi je?

Slide23

Uwiano na biashara ndogo Tunategemea wale wenye nia ya kuanzisha biashara wawe na tabia hizo zaidi kuliko watu wengineLakini kuanzisha biashara yako na kuiendesha mwenyewe kunaweza kukufanya uwe na tabia ya kijasiriamaliMipango mizuri ya biashara itakulazimisha kufikiri na kuifanya biashara kijasiriamali. Kuweka malengo na kupanga mikakati ya kutimiza malengo yako. Kuthubutu kimahesabu, kuwa mbunifu nk

Slide24

MabadilikoMabadiliko hayaepukiki katika maisha na kuna njia mbili za namna ya kuyakabili: -

Mabadiliko yakubadilishe wewe AUKupanga namna ya kuleta mabadiliko kwa namna utakavyo

Slide25

Agenda

Tunaweza kuleta mabadiliko gani?

Tubadilike kwanza wenyewe na tuwe na mtazamo au mwelekeo wa maendeleo. Tunalenga nini daima

Tukitazame chama chetu. Kinakwenda wapi??

Tukianzisha biashara vizuri, tutakuza biashara zetu na tutakopa zaidi mwisho saccos yetu itakuwa zaidi. BENKI

Slide26

Mabadiliko ya kiutendajiUtendaji wa chama unapo badilikaSasa

Mpito

Dira

Hali inayojulikana

Maumivu Mabadiliko

Hakieleweki

Wegine hawapendi

26

Slide27

Mabadiliko kiutendaji

Maana

Kama Neno

:

kuwa tofauti, Vingine

Tofauti na hali ya mwanzo

Kubadiliha na kingine

Tofauti

Kama Kitendo

:

Kubadilishwa au kufanywa tofauti

Kubadilisha

Msisitizo ni kukifanya kitu kiwe kingene

Haya yanaweza kuwa ni mabadiliko makubwa

27

Slide28

Dinosaurs Walikufa! Wanyama walibaki!

Badala yake walikumbatia mabadiliko na wakapona28

Slide29

Thank You!

Slide30

CONTACTS+255-658853100+255-762241124+255-784853100E-Mail:ngalawadeogratias@gmail.com