/
Bodi   ya   K ahawa  Tanzania Bodi   ya   K ahawa  Tanzania

Bodi ya K ahawa Tanzania - PowerPoint Presentation

alida-meadow
alida-meadow . @alida-meadow
Follow
407 views
Uploaded On 2018-07-04

Bodi ya K ahawa Tanzania - PPT Presentation

Hali ya Sekta ya Kahawa Tanzania Mkutano Mkuu wa Nane wa Wadau wa Kahawa Primus Kimaryo Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Kahawa Tanzania ID: 663204

kwa kahawa bei uzalishaji kahawa kwa uzalishaji bei changamoto ubora soko wakulima vya cha magunia 2017 vyama hivyo bado

Share:

Link:

Embed:

Download Presentation from below link

Download Presentation The PPT/PDF document "Bodi ya K ahawa Tanzania" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.


Presentation Transcript

Slide1

Bodi ya Kahawa Tanzania

Hali ya Sekta ya Kahawa TanzaniaMkutano Mkuu wa Nane wa Wadau wa KahawaPrimus KimaryoKaimu Mkurugenzi MkuuBodi ya Kahawa TanzaniaMei 2017Slide2

UtanguliziBodi

ya kahawa Imeundwa wa sheria na 23 ya mwaka 2001 kama ilivyorekebishwa na Sheria ya Mazao na 20 ya 2009Kazi ya Msingi, pamoja na majukumu mengine ni kusimamia sekta ndogo ya kahawa.Vile vile kuratibu majukumu shirikishi ya wadau wa

kahawa ambayo

ni;UzalishajiUtafitiUgani

Uendelezaji

masokoUbora wa kahawaUpatikanaji wa pembejeo, nk. Slide3

Jukumu la usimamizi wa sheria linatekelezwa na

Bodi kwa kugharamiwa na serikali kwa asilimia 100. Majukumu shirikishi (shared function) yanatekelezwa kwa kugharamiwa na wadau wote wakiwemo Halmashauri za Wilaya, mashirika binafsi, vyama vya ushirika, n.k.Ugharamiaji wa Shughuli za

BodiSlide4

Hali ya Uzalishaji Duniani

Uzalishaji duniani kwa msimu wa 15/16 ulifikia magunia milioni 151.624. Ongezeko la 0.186mnbKahawa duniani huingia sokoni katika makundi manne;Kundi la Aprili; uzalishaji magunia milioni 71.515Nchi za Rwanda, Burundi, BrazilKundi la Julai: Uzalishaji magunia milioni 1.855Nchi za Tanzania, DRC, Zambia, CubaKundi la Oktoba:

Uzalishaji magunia milioni

78.254Nchi za Kenya, UgandaSlide5

Uzalishaji Nchini

 Mkoa/Mwaka2015/162016/17(2016/17)%     1

Arusha

2,353

1,764

3.8%

2

Iringa

58

5

0.01%

3

Kagera

24,443

20,023

42.6%4Katavi 2 2 0.00%5Kigoma 1,094 1,101 2.3%6Kilimanjaro 3,314 2,847 6.1%7Manyara 27 18 0.04%8Mara 670 517 1.10%9Mbeya 1,816 2,141 4.6%10Morogoro 7 9 0.02%11Mwanza 5 7 0.01%12Njombe 119 86 0.18%13Ruvuma 13,693 10,855 23.1%14Songwe 12,405 7,540 16.1%15Tanga 182 49 0.10% Total 60,188.0 46,963.5 100%Slide6

Hali ya Uzalishaji NchiniSlide7

Matarajio ya Uzalishaji 2017/18

Matarajio Msimu ujao 2017/18 uzalishaji utapungua hadi tani 43,000Slide8

Soko la Kahawa

Soko la kahawa la dunia ndio soko rejea kwa kahawa zinazozalishwa nchini (NYC/ICE)Slide9
Slide10

Moshi Auction

World MarketSlide11

Bei ya Mkulima

Kutokana na mwendendo wa soko, wakulima waliouza wakati bei ni nzuri sokoni walipata wastani wa Shs 5,000Wastani wa bei kwa msimu ni shs 4,000kwa kahawa za ArabikaKwa kahawa za robusta wakuliwa walilipwa wastani wa Shs 1,400

kwa kilo ya Maganda

.Pamoja na bei

ya

kuridhisha iliyokuwepo sokoni baadhi ya wakulima hawakufaidika na bei

kwa

kuwa

wananunua

badala

ya kukusanya kwa wanachama na hivyo kutozingatia ubora na kushindwa kupata faida ya kuongeza thamani masoko ya juu.Slide12

Ubora wa KahawaSlide13

Mauzo na MapatoSlide14

Mgawanyo wa MauzoSlide15

Mtiririko wa BeiSlide16

Wauzaji

Mnadani: 2016/17Wanunuzi MnadaniWauzaji Direct Export

60%

87%Slide17

Nchi Zinazotumia Kahawa yetu

Masoko Mapya:India, Urusi, Afrika Kusini na AustraliaSoko la ndani ni asilimia 5 - 7Slide18

Mkakati wa Maendeleo ya

kahawa 2011/2021Mwaka 2011 wadau walipitisha mkakati wa miaka 10 wa maendeleo ya kahawaLengo kuu lilikuwa niKuongeza uzalishaji hadi kufikia tani 80,000 mwaka 2017 na tani 100,000 mwaka 2021Lengo hilo halijafikiwa Mkakati huu unafanyiwa marejeo ya

muda wa kati

na taarifa ya mshauri

mwelekezi

itawasilishwaKujua ni wapi tumejikwaa na tujipange upya Slide19

Changamoto za Uzalishaji

Bado tija ya uzalishaji ni ndogo inayosababishwa na matumizi kidogo ya pembejeo hususan mboleaKasi ndogo ya kupokea matokeo ya utafitiMabadiliko ya tabianchi yamesababisha mvua zisizo na mpangilioUwekezaji mdogo ikilinganishwa na malengo na mkakati

wa kahawa 2011-2021Slide20

Changamoto za

UboraVikundi na vyama vya wakulima vinanunua kahawa badala ya kukusanya kwa wanachama hivyo kushindwa kudhibiti ubora.Licha ya juhudi za Serikali kuwezesha wakulima CPU (ADSP), mashine nyingi hazifanyi kaziBiashara ya ‘magoma’ na ‘butura’

– kuuza kahawa

ikiwa bado shambaniSlide21

Changamoto za Masoko

Kuyumba kwa uzalishaji na ubora kunaathiri bei ya mkulimaSoko la mnada kumilikiwa na makampuni machache ya njeKupungua kwa kiasi cha kahawa kinachopelekwa mnadaniSlide22

Changamoto za Masoko..2

Soko la DE ambalo lilianzishwa kwa ajili ya kumsaidia mkulima kwa kuuza kahawa za ubora wa juu linatumiwa kwa kiasi kikubwa na makampuni yanayonunua kahawa vijijiniWengi wanaomba madaraja yote yaruhusiweDirisha hili sio mbadala wa Mnada.Vyama

vya ushirika

vimepata changamoto ya kutekeleza

mikataba

ya uuzaji nje ya nchiSlide23

Changamoto za Sekta

Ukusanyaji ushuruBodi inaingia mikataba na H/Shauri kukusanya ushuru baada ya kupata maombi kutoka wizara ya viwandaHalmashauri nyingi na baadhi ya mikoa imegawanyika na hivyo ugumu wa upatikanaji wa takwimuHalmashauri kutoa vibali vya

ununuzi vijijini

kama chanzo cha mapato na

hivyo

kuwa na utitiri wa wanunuzi Slide24

Changamoto za Sekta..2

Bado matumizi ya CPU yapo chiniUchanganyaji wa kahawa zenye ubora tofautiKutegemea soko la nje (>90%)Gharama za uongezaji thamani wa zao: kutokana na kuwa na

uzalishaji kidogo

na kwa

ubora

unaotofautiana mara kwa mara.Uwekezaji

kidogo

kwenye

uzalishaji

kutoka

taasiosi za fedhaSlide25

FURSA BADO IPO!

Uzalisaji kibiasharaKulima kisasaMaeneo ya uzalishajibKujikinga na BeiKuwakwamua wakulima na vyama vyaoKuongeza thamani ya zaoSoko la ndaniTanzania ya viwanda

Fursa ya

kuongeza ajira

na

kupambana na kuyumba kwa sokoKunufaika

na

kinywaji

cha

kahawa

Uwekezaji

wa

kutoshaHalmashauri ziwekeze kwenye kahawaKuwa na mpango kabambe wa kilimo cha kahawa Slide26

ASANTENI SANA

Kwa maelezo zaidi wasiliana na ;Mkurugenzi Mkuu,Bodi ya Kahawa TanzaniaBox 732,MoshiTanzaniainfo@coffeeboard.or.tz www.coffeeboard.or.tz