/
MRADI WA USAMBAZAJI WA TEKNOLOJIA  YA BIOGESI KWA MATUMIZI YA NYUMBANI TANZANIA(TDBP) MRADI WA USAMBAZAJI WA TEKNOLOJIA  YA BIOGESI KWA MATUMIZI YA NYUMBANI TANZANIA(TDBP)

MRADI WA USAMBAZAJI WA TEKNOLOJIA YA BIOGESI KWA MATUMIZI YA NYUMBANI TANZANIA(TDBP) - PowerPoint Presentation

iamamercy
iamamercy . @iamamercy
Follow
394 views
Uploaded On 2020-08-27

MRADI WA USAMBAZAJI WA TEKNOLOJIA YA BIOGESI KWA MATUMIZI YA NYUMBANI TANZANIA(TDBP) - PPT Presentation

UTANGULIZI Programu ya uenezi wa mtambo wa biogesi ngazi ya kaya Tanzaniatdbp ina majukumu ya kueneza mitambo ya bioges kwa njia ya kufundisha mafundi uashi na watumiaji na kuhamasisha uanzishwaji wa sekta binafsi ya makampuni ya ujenzi wa mitambo ya biogesiikishirikiana na wadau mbalimbali ID: 804062

katika kwa biogesi mtambo kwa katika mtambo biogesi tope chujio biogas ujenzi kama kutumia gharama mboji mwaka matumizi vifaa

Share:

Link:

Embed:

Download Presentation from below link

Download The PPT/PDF document "MRADI WA USAMBAZAJI WA TEKNOLOJIA YA BI..." is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.


Presentation Transcript

Slide1

MRADI WA USAMBAZAJI WA TEKNOLOJIA YA BIOGESI KWA MATUMIZI YA NYUMBANI TANZANIA(TDBP)

Slide2

UTANGULIZI

Programu ya uenezi wa mtambo wa biogesi ngazi ya kaya Tanzania(tdbp) ina majukumu ya kueneza mitambo ya bioges kwa njia ya kufundisha mafundi uashi na watumiaji na kuhamasisha uanzishwaji wa sekta binafsi ya makampuni ya ujenzi wa mitambo ya biogesi,ikishirikiana na wadau mbalimbali ili kusisimua sekta binafsi kujihusisha na tecnolojia hii nchini.

Slide3

Biogesi

ni

nini

?

Ni

nishati

itokanayo

na

kinyesi

cha

wanyama

ambacho

huchachuka

ndani

ya

mitambo

wa

bioges

na

kuweza

kutumika

kwa

ajili

ya

kupikia

na

kuwashia

taa

(

japo

kuna

tafiti

zinazoendelea

kwa

ajili

ya

kuzalisha

nishati

mbadala

ya

kuzalisha

umeme

).Ni

gesi

inayotokana

na

uchakachuaji

wa

vinyesi

vya

wanyama

na

masalia

ya

shambani

na

jikoni

katika

mazingira

yasiyo

na

hewa

ya

oksijeni

(ANAEROBIC DIGESTION).

Slide4

HAKUNA HEWA YA OKSIJENI

Slide5

Biogesi inamfaa mtu

yeyote

mwenye uwwezo

wa

kufuga

ng’ombe

kuanzia

idadi ya wawili na kuendelea.Kiasi cha gesi ipatikanayo kinategemea idadi ya mifugo iliyopo.

Biogas ina nifaa?

Slide6

Biogesi ni

gesi

salama

kwa

sababu

hailipuki kama aina nyingine za gesi zinazowekwa

kwenye mitungi

na

kukandamizwa.Biogesi kwa ujumla haina madhara kiafya na kimazingira

Maelezo

kuhusu

biogas

yanaendelea

……

Slide7

Biogesi ina matumizi

mbalimbali

kupikia

kwa

kutumia

majiko

maalum

na kutoa mwanga kwa kutumia taa maalum za biogesi ama taa za

umeme kwa kutumia bioslurry

/tope

chujio),kuendeshea pampu za maji kwa kutumia injini maalum.Pia bioges inaweza kuendesha jokovu kwa kutumia

injini

maalum

Slide8

Vitu

vinne

vikuu

katika

kufikia

malengo ya kumiliki biogas

MIFUGOKIPATOMAJINIA

Slide9

Mtambo wa biogesi

hujengwa

na vifaa

vitumikavyo

kwenye

ujenzi

wa

nyumba.gharama za ujenzi hutegemea na bei ya vifaa vya ujenzi na hutofautiana kati ya sehemu

moja na sehemu nyingine.Gharama

ya awali inaweza kuonekana kwa juu lakini baada ya miaka miwili hadi mitatu,gharama hii huwa imeisharejeshwa kwa kutumia

biogesi

badala

ya nishati nyingine kama kuni ,umeme,mkaa au mafuta ya taa

Je

nitaweza

Gharama

za

ujenzi

wa

mtambo

?

Slide10

Baadhi

ya

Vifaa

vinavyotumika

kujengea

mtambo…..

Slide11

Mradi huu uliunda kampuni

ambazo

zilizalisha

mafundi

uashi waliopata

mafunzo

chini

ya taasisi ya CAMATEC.Ambapo kushirikiana na mashirika yasiyo ya kiserikali katika kutekeleza mradi huu

unasimamia kampuni hizi.FIDE kama mshirika

mkuu

unasimamia kampuni 13 toka utaratibu wa makampuni kupendekezwa-nayo niKISIKI,D&B,KIRORE,KBC,RAM,CHANGAMKENI,KGB G.SULLE,MBIIC,NAGEMA,BAMAS,SIMA,ORON

Je

nikijiandaa

nitajengewa

na nani?

Slide12

Mtambo uliojengwa kwa

ustadi

hauhitaji matengenezo

ya

mara

kwa

mara

hasa kama masharti ya kuhudumia mtambo yakifuatwa.Endapo mtambo unakuwa na hitilafu,mteja ni rahisi kuwasiliana

na fundi pamoja na ofisi

husika kwa ajili ya matengenezo ya mtambo. Matengenezo huhitajika tu kwenye sehemu fulani fulani za vifaa vitakavyotumika kama

majiko

,

taa

ambapo sehemu hizo huchakaa na kubadilishwa.

Je,Mtambo

ukiwa

na

hitilafu

?

Slide13

Watu wote

wenye

mifugo

kama

ng

ombe,kuku,nguruwe nk. Wanaweza kuwa wateja wazuri wa

biogesi .Ni vizuri

kupata

faida za ziada kutokana na mifugo mtu aliyo

nayo

kama

hiyo nishati ya biogesi ,

mbolea bora

zaidi

na

mazingira

yaliyoboreshwa

zaidi

Je,mimi

mfugaji

ninanufaika

?

Slide14

Biogesi ni nishati

ya

gharama

nafuu

kwa matumizi

yake

.

Biogesi haina moshi wa harufu inapotumiwa Matumizi ya biogesi huwapunguzia akina mama adha ya kutafuta

kuni, na kupata muda kwa

shughuli

nyingine za uzalishaji mali nje na ndani ya kaya zaoMatumizi ya mbolea inayotoka kwenye mtambo huongeza

uzalishaji

wa

mazao zaidi kulinganisha na matumizi ya mbolea ya viwandani

Fursa za ajira ,hasa

kwa

vijana

waliofundishwa

taaluma

ya

ujenzi wa mitambo na vile vile

matumizi

ya tope chujio(bio-slurry) na mboji kwa ajili ya mazao

Biogas

ina

faida

yeyote

?

Slide15

SEHEMU YA PILI

Historia

fupi

yateknolojia

ya

BIOGAS

Tanzania.

Slide16

Tenknolojia

ya

biogas

imekuwa kwa

muda

mrefu.Na iliingia

nchini

katika miaka ya 1970 ,Teknolojia hii imetokea katika nchi za mashariki ya kati hasa India na

hatimaye kutua Nchini kupitia shirika la SIDO.

Kwa

wakati huo Nchi Nyingi za mashariki ya kati hasa India walikuwa wanatimia Muundo wa pipa linaloelea yaani

(FLOATING DRUM)

na

huo

ndio muundo tulioanza nao Nchini..

Slide17

Inaendelea

……….

Uliingiwa

na

changamoto

katika

kutekeleza muundo huu kutokana na mapipa kupata kutu na hatimaye kutoboka,hivyo

ikawa changamoto katika marekebisho hivyo

kuongeza gharama kwa mtumiaji.Baadaye Taasisi ya Camatec ikabuni aina mpya ambayo ilikuwa suluhisho

ya

awali.ikijulikana

“Chinese Fixed Dome”-

Mwaka 1983.

Slide18

Inaendelea

…….

Miaka

michache

baadaye

maboresho

yalifanyika tenakatika harakati

za kupunguza

gharama

za ujenzi wa mitambona kuzalisha aina

mpya

inaoitwa

“ MODIFIED CAMARTEC DOME - MCD”. Aina hii

ya

mtambo

ambayo

ndiyo

tunayoineza

kwa

sasa

inaweza

kupatikana kwa

ujazo

wa

kiwango

cha 4m

3

, 6m

3

, 9m

3

na

13m

3

na

rahisi

kujenga

.

Slide19

Inaendelea

……….

Kwa

kushirikiana

na

Tasisi

ya SNV mwaka 2011 Watafiti walibuni

aina ya

mtambo

unaostawi maeneo ya wafugaji yaliyokithiri kwa ukame.

Mtambo

huu

unaitwa “SSD”-Solid State Digester.Na nimaarufu

sana hasa

kwa

maeneo

mengi

ya

milima

ya

upare hasa Same

na

Mwanga.Ambayo

yanaonekana

ni

makame

na

kuwa

na

maji

hafifu

kuhudumia

mtambo

.

Slide20

Inaendelea

……..

Mitambo

hii

imeleta

sifa

kubwa ndani na nje ya Tanzania na kuwapa watu fursa ya kuja kujifunza namna

ya kujenga mitambo hii

na

inavyozalisha gesi ya kutosha na hivyo kumrahisishia mtumiaji.

Slide21

CHEMBA YA KUINGIZIA MBOLEA

Chemba

ya

majaribio

Chemba

Ya

Kukorogea

Chemba Mtanuko

Mdomo wa kutolea

mbolea

Muonekano

wa

mtambo

wa

biogas

juu

ya

ardhi

…..

Slide22

Je,hivi

tumejenga

mitambo

mingapi

???

MWAKA 2009

50

MWAKA 2010

210

MWAKA 2011

300

MWAKA 2012

416

MWAKA 2013

MWAKA 2014

528

204

Slide23

SEHEMU YA TATU

TOPE CHUJIO-Bio slurry

Na

Utengenezaji

wa

Mboji

-Compost Making

Slide24

Nini

maana

ya

tope

chujio

-Bio slurry

.

Ni masalia yaliyotolewa katika Mtambo(Biogas plant) inayotumika katika kuongeza rutuba katika udongo kwa ajili ya uzalishaji wa mimea.Inatokana na mtengano wa Viumbe hai katika mtambo wa biogesi.

Slide25

Tope chujio ina sifa yeyote??

Haina harufu na haiwavutii wadudu kama vile inzi nk.

Tope chujio hushambulia mchwa na wadudu wote ambao wanavutiwa na samadi mbichi.

Utumiaji wa tope chujio hupunguza kazi ya kupalilia.Matumizi ya tope chujio ipasavyo kupunguza kazi ya kupalilia kwa asilimia 50%

Tope chujio ni bora katika kuhifadhi rutuba katika udongo,inaongeza virutubisho na kuiongezea ardhi uwezo wa kuhifadhi maji.

Tope chujio inazuia bacteria.Uchakachushwaji wa samadi unaua bacteria zinazosababisha magonjwa kwa mimea.

Slide26

UTENGENEZAJI WA MBOJI-COMPOST MAKING.

Mboji ni kitendo cha kuvunja kemikali kutoka katika mimea na wanyama kwa ajili ya kuzalisha humus.

Slide27

Kwanini tope chujio kwa utengezaji wa mboji?

Tope

chujio

lina

sifa

ya

;

Virutibisho kwa mmeaKuimarisha udongoUmuhimu wa mboji

katika kilimo.Mkulima anaweza

akarutubisha

ardhi yake kwa kutumia mboji iliyotengenezwa kwa kutumia tope chujio.Inaongeza afya kwa udongo inayohitajika kwa mmea katika

kiwango

mahsusi

.

Slide28

Inaendelea…..

Faida

zitokanazo

na

mboji

Gharama

nafuu na rahisi kupatikanaInasaidia kuboresha afya ya ardhi/udongo kwa muda mrefu

Rahisi kueleweka na kuandaaInasaidia

kutopoteza maji haraka kwenye ardhi na kufanya ardhi kuwa na unyevu kwa muda mrefu.Humuongezea kipato mfugaji anapopeleka

sokoni

kwani

ina soko zuri ikitegemewa na uhifadhi bora.

Slide29

Wadau katika biogas .

Katika utekelezaji wa biogas tumeweza kushirikiana na;

KKKT dayosesi ya Same-kupitia mfuko wa Sabine

Samekaya saccos.

Mwanga Bank.

World Vision.

Slide30

Mbinu za kupata wateja

Mbinu

ambazo

zinatumika

ni

kama

ifuatavyo;Mlango kwa mlangoKutumia watu mashuhuru katika eneo

husikaKutumia mikutano ya

hadhara.Kutumia makanisa,misikiti ambapo ni rahisi katika kupata wateja.

Slide31

Inaendelea……

Mgagao

Ugweno

Usangi

Kisangara

Gonja

Bangalala

Same

Ibwe ijewa

Ndenga

RomboMarangu-kyalaMakanyaNadururuMwembe.Tolohakigonigoni

Slide32

Maeneo makuu tunayofanya kazi kwa milima ya pare

Vudee

Kirangare

Makasa

Same

Kisiwani

Bombo

Lwami

Jipe

Hedaru

kilomeni.

Slide33

Changamoto za mradi.

Kutolewa kwa ruzuku

Uhudumu wa mtambo-kunakuwa na uangalizi mdogo katika ngazi ya kaya katika kuuhudumia mtambo.

Malipo kwa mafundi/kampuni.

Usambazaji wa taarifa sahihi kuhusu mradi

Uelewa mdogo wa wananchi juu ya biogas

Uchumi kwa mwanchi mmoja mmoja.

Slide34

Je Tumefanikiwa

?

FIDE

tumefanikiwa

kwa

asilimia

kubwa

katika kueneza teknolojia na kupunguza uharibifu

wa mazingira

kwani

wakazi wengi wanafurahia matumizi ya biogas na bio slurry/tope chujio katika kilimo

na

kukuzia

mimea

Slide35

BOQ

VIFAA VINAVYOHITAJIKA KATIKA UJENZI WA MTAMBO WA

SSD(6M3)

1.Kuchimbashimo

……(

Maelewanonamchimbaji

)

2.MatofaliMadogo (23cm/11cm/7cm)

…..1200

3.Kokoto ………………………..………………….. Debe404.Mchanga ……………….…

Debe 130 au nusuLory5.Mawe

…………………………...Meta 3 au Lori

moja6.Saruji ……………………………………….……Mifuko207.Chokaa……………………………………………Mifuko48. Water Proof Cement…………………... Mifuko 49. Wire-Mesh ……………….........…..………..

Kipande

(

Kipandekimojawanatumiawatejawawili

)

10. Chicken wire …………………………………meta25 (

Rolamoja la futisitawanatumiawatejawawili

)

11.Bomba la PVC

………………………….…………

Moja

12.Nondoya mm.10

……………………….……….

Moja

13.Kipande cha

bomba

la

chuma

/IPS

...Metamoja

14. “T”-Joint + Plug

…………………....

Mojamoja

15.

MisumariNch

2

………………....………Kilo

Moja

Slide36

VIFAA VINAVYOHITAJIKA KATIKA UJENZI WA MTAMBO WA MCD(6M3)1. Kuchimbashimo… (

Maelewanonamchimbaji

)

2.

MatofaliMadogo

(23cm/11cm/7cm)

….. 1000

3.

Kokoto

………………………..………………. Debe35.

4. Mchanga …………………Debe130 au Lorymoja. 5. Mawe…………………………..Meta 3au Lorimoja.6. Saruji …………………………………..……Mifuko157. Chokaa…………………………………………Mifuko3

8. Water Proof Cement……………………. Mifuko49. Wire-Mesh ……………….............……. Kipande

1.

(Kipandekimojawanatumiawatejawawili)10.Chicken wire …………………………………Meta 35. (Rolamoja la futisitawanatumiawatejawawili)11. Bomba la PVC……………………………………Moja.12. Nondoya mm.10

………………………………

Moja

VIFAA VINAVYOHITAJIKA KATIKA UJENZI WA MTAMBO WA

MCD

(6M

3

)

Slide37

Asanteni

Na

Karibu

katikaTeknolojia

Ya

Biogesi

BIOGESI KWA MAISHA BORA

Slide38

Imeandaliwa na;

ADRIAN

FOUNDATION CO. Ltd

‘for the quality community initiative’

P.o.Box 131,SAME,Tanzania

adrianmnzava@gmail.com

Adrian.mnzava@yahoo.com

www.adrianfoundation.blogspot.com

+255

692754026

+255 745699561