/
UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI

UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI - PowerPoint Presentation

tickorekk
tickorekk . @tickorekk
Follow
352 views
Uploaded On 2020-11-06

UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI - PPT Presentation

Somo la 5 kwa ajili ya Novemba 3 2018 Wakawa wakidumu katika fundisho la mitume na katika ushirika na katika kuumega mkate na ID: 816241

katika kwa kanisa umoja kwa katika umoja kanisa matendo roho wote siku wao yesu wengine mtakatifu mmoja awali pamoja

Share:

Link:

Embed:

Download Presentation from below link

Download The PPT/PDF document "UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.


Presentation Transcript

Slide1

UZOEFU WA UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI

Somo la 5

kwa

ajili

ya

Novemba

3, 2018

Slide2

Wakawa

wakidumu katika fundisho la mitume, na katika ushirika, na katika kuumega mkate, na katika kusali”(Matendo 2:42)

FUNGU KIONGOZI

Slide3

Kanisa

la

awali

ni kielelezo kikuu cha umoja.Je; Waliufikiaje huo umoja? Tunaweza kuwa na umoja kama huo kanisani leo?MaandaliziKazi ya Roho MtakatifuKuwa na muda pamojaKuwa wakarimuKuwafikiria wengine

Slide4

MAANDALIZI

Hawa

wote walikuwa wakidumu kwa moyo mmoja katika kusali, pamoja nao wanawake, na Mariamu mama yake Yesu, na ndugu zake.” (Matendo 1:14)Kabla ya kupaa Mbinguni, Yesu aliahidi angekuja Msaidizi. Angefanya kazi maaluma ndani ya wafuasi wa Yesu :Walijiandaa kwa siku 10 ili kupokea kipawa cha Roho:Kwa kadri walivyokuwa karibu na Yesu, ndivyo walivyokuwa wamoja.

Slide5

KAZI YA ROHO MTAKATIFU

Hata ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja

.” (Matendo 2:1)Sikukuu ya majuma au Pentekoste (Siku ya 50) ilikuwa ni sherehe maradufu.Upande mmoja, walisherekea sheria iliyotolewa pale mlima Sina. Sasa mwanzo wa Israeli uliambatana na mwanzo wa Kanisa. Sheria na Injili vikakutana.Upande mwingine, hii ilikuwa ni sikukuu ya kutoa shukurani. Walishukuru kwa vipawa vilivyopita na vijavyo kutoka kwa Mungu. Walitoa malimbuko ya mazao yao.Roho Mtakatifu alikusanya matunda (roho 3,000) kwa kuwapa wanafunzi karama ya kunena kwa lugha za watu waliokusanyika Yerusalemu

.

Utofauti

wa

lugha

ulileta

ugawanyiko

kule

Babeli

.

Kizuizi

hicho

kilivunjwa

katika

siku

ya

Pentekoste

,

hivyo

wote

wakawa

na

umoja

katika

Kristo

.

Slide6

KUWA NA MUDA PAMOJA

Wakawa

wakidumu katika fundisho la mitume, na katika ushirika, na katika kuumega mkate, na katika kusali.” (Matendo 2:42)Watu wengi waliguswa kutubu waliposikia habari za ufufuo na kupaa kwake.

Dhambi

zao

zilisamehewa

kwa

jina

la

Yesu

.

Waliamua

kutenga

muda

wakuwa

na

Mwokozi

wao

tangu

siku

ile

:

Muda wa kusoma BibliaMuda wa kuzungumza wao kwa wao na kujifunza habari za YesuMuda wa kula pamojaMuda wa kuomba pamoja

Kujitoa kwao kulileta umoja kwa Kanisa. Ulikuwa ni ushuhuda wenye nguvu kwa wale waliokuwa wakiwatazama (Matendo 2:43)

Slide7

KUWA WAKARIMU

Wala

hapakuwa na mtu mmoja miongoni mwao mwenye mahitaji; kwa sababu watu wote waliokuwa na viwanja au nyumba waliviuza, wakaileta thamani ya vitu vile vilivyouzwa.” (Matendo 4:34)Ukarimu

ulikuwa

matokeo

ya

umoja

wao

na

namna

walivyopendana

.

Kila

walichokimiliki

walikishiriki

na

wengine

kwa

kadri

ya

mahitaji yao.Barnaba alikuwa mafano wa ukarimu huu usio na ubunafsi (Matendo 4:36-37)

Kinyume chake, Anania na Safira waliacha choyo ikajaza mioyo yao wakamdaganya Roho Mtakatifu (Matendo 5:1-11)Uchoyo ni dhambi hatari inayodidimiza umoja. Hukaa moyoni na haionekani kwa nje.

Slide8

KUWAFIKIRIA WENGINE

Kanisa

la

awali lilihimiza tabia hii kama uthibitisho wa umoja miongoni mwa washiriki.Paulo alihimiza makanisa ya wamataifa kulisaidia kanisa lenye kuhitaji huko Yerusalemu, “mkitajirishwa katika vitu vyote mpate kuwa na ukarimu wote, umpatiao Mungu shukrani kwa kazi yetu.” (2 Wakorintho 9:11) “maana imewapendeza watu wa

Makedonia

na

Akaya

kufanya

changizo

kwa

ajili

ya

watakatifu

huko

Yerusalemu

walio

maskini

.”

(

Warumi

15:26)

Suluhisho

la

uchoyo ilikuwa kuacha kujifikiria mwenyewe na kuanza kuwafikiria wengine

. Ni lazima tu mruhusu Roho Mtakatifu afanye hii kazi mioyoni mwetu.

Slide9

UMOJA KATIKA KANISA LA AWALI

Je; Ni

kitu

kipi kilihimiza umoja katika kanisa la awali?MaombiIbadaUshirikakujifunza BibliaKuhubiri injiliUpendo na kujali123456Umoja wao ukazaa ukarimu na kusaidiana, katika kanisa mahalia na miongoni mwa makanisa katika maeneo tofauti ya

kijiografia

.

Slide10

Baada ya kushuka kwa

Roho Mtakatifu wanafunzi walisonga mbel kumtangaza Mwokozi aliyefufuka. Walifurahia katika utamu wa ushirika na watakatifu. Walikuwa wapole, wenye kuwafikiria wengine, wenye kujikana nafsi, walio tayari kujitoa kafara kwa ajili ya kweli. Katika mahusiano yao ya kila siku walidhihirisha upendo ambao Kristo aliwaamuru kuudhihirisha. Kwa maneno na matendo yasio na ubinafsi walifanya bidi kuangaza upendo ulio mioyoni mwao.”E.G.W. (Testimonies for the Church, vol. 8, cp. 38, p. 241)

Slide11

Ushuhuda wao katika uanzishwaji

wa kanisa la Kikiristo unatolewa kwetu sio tu kama sehemu muhimu ya historia takatifu lakini pia kama somo. Wote wanaolitaja jina la Kristo wangoje, wakeshe, na kuomba kwa moyo mmoja. Tofauti zote ziwekwe kando, na umoja na upendo wa mmoja kwa mwingine vitawale yote. Kisha maombi yetu yataenda kwa pamoja juu kwa Baba yetu wa Mbinguni yakiwa na nguvu na Imani thabiti. Kisha tukiungoja

kwa

subira

na

tumaini

utimilifu

wa

ahadi

.”

E.G.W. (The Story of Redemption, cp. 32, p. 246)