Manusurika Wakimbizi Walio katika Hatari ya Unyanyasaji wa Kingono na Kijinsia UTANGULIZI WA UNYANYASAJI WA KINGONO NA KIJINSIA Malengo Mwishoni mwa kipindi washirika wataweza ID: 813438
Download The PPT/PDF document "HATARI MARA TATU: Ulinzi" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.
Slide1
HATARI MARA TATU: Ulinzi
Manusurika Wakimbizi Walio katika Hatari ya Unyanyasaji wa Kingono na Kijinsia
UTANGULIZI WA UNYANYASAJI WA KINGONO NA KIJINSIA
Slide2Malengo
Mwishoni
mwa kipindi, washirika wataweza:Kufafanua unyanyasaji wa kingono na kijinsia (SGBV)Tambua vile mamlaka, ridhaa, vurugu, wajibu wa kijinsia na haki za binadamu zinahusiana na SGBVTambua aina ya SGBV zinazotokea katika muktadha tofauti
Slide3Ubunguaji
Bongo
wa KundiUfafanuzi wako wa “unyanyasaji wa kingono na kijinsia” ni gani?Unyanyasaji wa Kingono na Kijinsia
Slide4Unyanyasaji
wa kimwili, kimhemuko au kingonoUnaofanyiwa mtuKwa sababu yaAina ya jinsiaJinsia auMwelekeo wake wa utambuisho wa kijinsiaUfafanuzi wa SGBV
Slide5Ubunguaji Bongo wa Kundi
Mamlaka ni nini?
Ni nini huwapa watu mamlaka? Ni vyeo gani huwa na mamlaka katika jamii yako? Duniani? Mamlaka
Slide6Mamlaka
ni uwezo wa kutekeleza udhibiti maishani kwa kufanya uamuzi wa kuarifiwa bila msukumo wowoteMamlaka yanahusiana na uchaguziWatu wenye mamlaka zaidi wana chaguo zaidiWatu wasio na mamlaka wana chaguo chacheMamlaka yanahusiana na ngazi za
uongozi
za
kijamii
Wajibu
wa kijinsia kwa kawaida huwapa wanaume mamlaka zaidi kuliko wanawakeUmri, wajibu katika familia/jamii, mali pia huathiri mamlaka
Ufafanuzi wa Mamlaka
Slide7Watu wanaweza kutumia mamlaka vibaya kutawala watu wengine
Matumizi mabaya ya mamlaka yanajumuisha
Kupunguza uwezo wa mtu mwingine kufanya uamuzi wa hiariKulazimisha mtu kutenda dhidi ya hairi yakeSGBV ni matumizi mabaya ya mamlakaMamlaka, yawe ya kweli au dhana, yanaaminiwa na mwathirika kuwa ya kweliMatumizi Mabaya ya Mamlaka
Slide8Ubunguaji Bongo wa Kundi
Ridhaa ni nini?
Ninatoaje ridhaa? Ridhaa
Slide9Uwezo
wa kutoka idhini ya kuarifiwaKuelewa matokeo yote yanayowezekana ya uamuziUnaotolewa kwa hiariBila kulazimishwaUfafanuzi wa Ridhaa
Slide10Vurugu
ni namna ya kutawala au kunyanyasaInahusu nguvu – ya kweli au ya dhanaInaweza kuanzishwa kupitia matumizi ya nguvu ya kimwili au ulazimishaji wa kisaikolojia, pamoja na vitishoVurugu
Slide11Mamlaka/matumizi mabaya ya mamlaka
Kukosa ridhaa
Vurugu/matumizi ya vitisho vya nguvuKujeruhiVipengele ya SGBV
Slide12SGBV na Haki za Binadamu
SGBV ni ukiukaji wa haki za binadamu, ikijumuisha
Haki ya kuishiHaki ya usalama wa kibinafsiHaki ya ulinzi sawa chini ya sheriaHaki ya uhuru kutokana na vitendo vya mateso na ukatili, kinyama au kushusha hadhi
Slide13Shughuli ya Kibinafsi
Andika mifano mitatu ya unyanyasaji wa kingono na kijinsia
Aina za SGBV
Slide14Aina za SGBV
Unyanyasaji wa Kingono
Ubakaji/ubakaji wa gengeKulazimishwa kufanya shambulio la kingonoMateso ya sehemu nyetuUgumba au uhasi wa kulazimishwaTohara ya lazimaUdhalilishaji wa kijinsiaMimba ya kulazimishwa au kulazimishwa kuavyaKusafirisha binadamu kwa unyanyasaji wa kingonoKulazimishwa katika mazingira ya ponografiaKupimwa ubikraUpasuaji wa lazima kwa watu wenye viungo vya jinsia zote mbiliUnyanyasaji wa KijinsiaMashambulio ya kimwiliVitisho vya vuruguUsumbufu au udhalilishaji wa maneno ya mdomoKutengwa kwa mwenzi katika ajira, elimu, msaada wa mtoto, afya, makazi au lisheNdoa ya lazimaKukataliwa na familia, jamii kwa kukosa kukubali wajibu wa jinsiaUbaguzi na uzuiaji wa kutembeaUsaliti kwa misingi ya mwelekeo wa kijinsia au utambulisho wa kijinsiaMauaji ya heshimaSheria zinazofanya ushoga kuwa kosa la jinai
Slide15SGBV
inamaanisha
vurugu kwa mtu kwa sababu ya jinsia au mwelekeo wake wa kijinsiaSGBV inahusu matumizi mabaya ya mamlaka, kukosa ridhaa na unyanyasaji na ulazimishaji wa kweli au unaodhaniwaSGBV ni ukiukaji wa haki za binadamuSGBV inajumuisha unyanyasaji wa kingono na aina zingine za
unyanyasaji
zinazohusiana
na
jinsia
au mwelekeo wa kijinsiaUfupisho
Slide16