ELIMU Hapa Kazi Tu Mwl Msuri I S 122 KUBAINI MIKAKATI YA KUDHIBITI NA KUIMARISHA TAALUMA KATIKA ELIMU YA MSINGI MATOKEO WEZESHI a Kubaini mikakati ya ID: 805839
Download The PPT/PDF document "TET 06101 UONGOZI KATIKA" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.
Slide1
TET 06101 UONGOZI KATIKA ELIMU“Hapa Kazi Tu”
Mwl
.
Msuri
, I. S
Slide21.2.2 KUBAINI MIKAKATI YA KUDHIBITI NA KUIMARISHA TAALUMA KATIKA ELIMU YA MSINGI
MATOKEO WEZESHI
(a)
Kubaini
mikakati
ya
kudhibiti
nidhamu
na
kuimarisha
taaluma
katika
elimu
ya
msingi
.
(b)
Kufafanua
umuhimu
wa
mikakati
ya
kudhibitinidhamu
shuleni
.
Slide3( c )
Kuainisha
mikakati
ya
kudhibiti
nidhamu
shuleni
.
(d)
Kubainisha
wadau
watakaoshirikishwa
katika
kutekeleza
mikakati
husika
ili
kudhibiti
nidhamu
na
kuimarisha
taaluma
shuleni
.
Slide4Dhana
Ya
Uongozi
Dhana
ya
uongozi
huelezwa
tofauti
na
wataalamu
mbalimbali
wa
masuala
ya
elimu
.
Wataalamu
wengi
wanaeleza
kuwa
uongozi
ni
hali
ya
ushawishi
katika
matumizi
ya
nafasi
aliyonayo
mtu
kuwashawishi
wengine
katika
kutekeleza
malengo
waliyojiwekea
.
Wills
&
Rollie
(2007)
uongozi
ni
matumizi
ya
nafasi
inayohusisha
mambo
ya
uhamasishaji
,
kushirikisha
,
kuratibu
,
kutia
moyo
,
kumotisha
na
kuwapongeza
wale
wanaofanya
vizuri
katika
kutekeleza
malengo
waliyojiwekea
.
Hivyo
kazi
kubwa
ya
kiongozi
ni
kuonyesha
njia
ili
kufikia
malengo
.
Slide6Uongozi
Katika
Elimu
Uongozi
ni
sanaa
,
talenti
,
kaliba
au
sayansi
inayotumika
kutengeneza
mazingira
wezeshi
(supportive learning environment)
ya
kujifunzia
na
kufundishia
(Day & Harris, 2007).
Hurber
(2004)
uongozi
katika
elimu
ni
zoezi
la au
mchakato
wa
kuwahamasisha
watu
au
kikundi
cha
watu
katika
kutekeleza
malengo
ya
pamoja
wa
liyojiwekea
shuleni
.
Slide7Uongozi
katika
shule
zetu
unapaswa
kujengwa
katika
misingi
ya
majidiliano
kati
ya
M/
Mkuu
,
walimu
,
wanafunzi
pamoja
na
shule
kwa
ujumla
kama
taasisi
.
Walimu
wakuu
wanayo
nafasi
kubwa
katika
kuhakikisha
kuwa
shule
inafanya
vizuri
kitaaluma
(to develop sound pedagogical practices in a school).
Slide8Sergiovanni
(1998)
viongozi
katika
elimu
wana
kazi
:
i
.
kuwaendeleza
kitaaluma
ii.
Kuwaendeleza
kitaalam
iii.
Kuwaendeleza
kijamii
hayo
yote
ni
katika
kuimarisha
maarifa
na
ujuzi
wa
mwalimu
na
wanafunzi
katika
mchakato
wa
ufundishaji
na
ujifunzaji
i.e
kusaidia
kuboersha
kazi
zao
za
darasani
.
Slide9K
azi
kubwa
ya
uongozi
wa
shule
ni
kusimamia
shughuli
zote
za
kila
siku
katika
uendeshaji
wa
shule
.
Mfano
kuhamasisha
,
kushirikisha
,
kupanga
,
kuongoza
ufundishaji
na
kazi
zote
katika
shule
.
Slide10Ni
muhimu
kwa
uongozi
wa
shule
kumfanya
kila
mtu
/
mdau
ashiriki
kikamilifu
katika
kusimamia
taratibu
za
elimu
.
Mf.
Kuhamasisha
rasilimali
hususani
pesa
katika
kuhakikisha
vifaa
vya
kufundishia
na
kujifunzia
zinapatikana
.
Slide11Hivyo
malengo
ya
kozi
ni
:
i
.
Kupata
maarifa
na
uelewa
mpana
juu
ya
uongozi
katika
shule
za
msing
.
ii.
Kubaini
na
kuelewa
kazi
tofauti
za
kiongozi
katika
shule
za
msingi
ili
kuhakikisha
uendeshaji
wa
shule
ni
mzuri
na
kunatolewa
elimu
bora
.
i
ii.
Kuwa
viongozi
mahiri
wa
elimu
(pedagogical leadership).
iv.
Kuwa
na
mikakati
ya
kiongozi
,
maarifa
na
ujuzi
katika
kuboresha
ufundishaji
na
ujifunzaji
shuleni
.
Slide12(a)
Kubaini
mikakati
ya
kudhibiti
nidhamu
na
kuimarisha
taaluma
katika
elimu
ya
msingi
.
Lengo
la
kipengele
hiki
ni
kutoa
uelewa
juu
ya
tabia
mbalimbali
walizonazo
wanafunzi
na
jinsi
ya
kuizuia
ili
kuboresha
elimu
.
Mara
nyingi
unaweza
kusikia
kauli
tofauti
za
walimu
juu
ya
mienendo
ya
wanafunzi
wao
wakiwa
shuleni
na
hata
katika
jamii
inayowazunguka
Slide13Hivyo
nidhamu
ni
kitu
muhimu
sana
kwa
wanafunzi
kwa
walimu
wao
kwa
sababu
hupelekea
wanafunzi
wakafanya
vizuri
katika
masomo
yao
au
kitaaluma
(MOC, 2000).
Kwa
ujumla
tunaweza
kusema
kuwa
nidhamu
ni
hali
au
jinsi
mtu
anavyoweza
kuonekana
,
kutenda
au
anavyojichukulia
akiwa
peke
yake
au
mbele
ya
watu
(behaves or acts) (MOC, 2000).
Slide14Uongozi
katika
elimu
ni
muhimu
kubainisha
mikakati
ambayo
itadhibiti
nidhamu
na
kuboresha
taaluma
.
Mikakati
hiyo
lazima
ijenge
mazingira
ambayo
yatawahamasisha
wanafunzi
kusoma
kwa
juhudi
pamoja
na
walimu
kufundisha
kwa
bidii
madarasani
(to enhance pupils learning and development and teacher learning and classroom effectiveness).
Slide15Mikakati
hiyo
ya
kudhibiti
nidhamu
na
kuimarisha
taaluma
ni
lazima
ionyeshe
njia
na
mwelekeo
wa
ushiriki
wa
wadau
wote
muhimu
katika
kusimamia
elimu
mashuleni
.
Hivyo
,
Uongozi
wa
shule
ni
muhimu
ukatengeneza
mikakati
,
taratibu
na
kanuni
anuai
katika
kuhakikisha
kuwa
shule
inaendeshwa
kulingana
na
sera,
kanuni
na
maelekezo
ya
Wizara
ya
Elimu
.
Slide16Mikakati
Ya
Kudhibiti
Nidhamu
Na
Kuimarisha
Taaluma
Katika
Elimu
Ya
Msingi
.
1.
Kuimarisha
kamati
ya
nidhamu
shuleni
.
Kamati
hii
isimamiwe
na
walimu
waadilifu
ambao
watakuwa
mfano
wakuigwa
shuleni
na
jamii
kwa
ujumla
.
Slide172.
Kuimarisha
Kamati
Ya
Taaluma
.
Taaluma
ndio
msingi
mkuu
(
core?primary
functions of the school)
wa
kuwepo
walimu
na
wanafunzi
shuleni
.
Kamati
iwahusishe
walimu
wenye
uwezo
mzuri
kitaaluma
na
wasio
na
chembe
ya
shaka
katika
ufundishaji
wao
na
kazi
zote
za
ndani
na
nje
ya
darasa
.
Slide183
.
Kuimarisha
Ushirikiano
Katika
Ya
Walimu
Na
Wazazi
.
-M/
mkuu
na
walimu
wenzake
yawapasa
kuifanya
shule
kuwa
ni
kituo
cha
malezi
na
kuwaelimisha
wazazi
kuwa
shule
ni
sehemu
ya
kijiji
/
jamii
na
sio
kisiwa
(
Wizara
ya
Elimu
ya
Taifa
(WET),
1995
).
- Bray (2003)
anaseme
ushirikiano
mzuri
hutegemea
msingi
wa
wazazi
kushiriki
kikamilifu
katika
kazi
za
shule
na
hupelekea
uwajibikaji
wa
pamoja
.
Slide19-
Kuwakaribisha
wazazi
kutoa
mawaidha
,
malezi
na
utamaduni
wa
jamii
.
-
Uongozi
uwashirikishe
wazazi
mapema
unapogundua
makosa
ya
awali
ya
mwanafunzi
ili
chanzo
chake
kieleweke
mapema
na
kupata
utatuzi
mapema
kwa
pamoja
.
Slide20Tafiti
zinaonyesha
kuwa
ushirikiano
mzuri
katika
ya
walimu
,
wazazi
na
jamii
kwa
ujumla
hupeleke
watoto
k
ujifunza
kwa
furaha
na
hupata
matokeo
mazuri
katika
mitihani
yao
(Booth & Dunne, 1996)
Slide214.Kudumisha
Mawasiliano
- Ni
muhimu
kuimarisha
mawasiliano
kati
ya
shule
na
wazazi
katika
kudumisha
nidhamu
na
taaluma
shuleni
.
-
Mawasiliano
yakiimarishwa
huleta
maana
muafaka
ya
ushawishi
kwa
mtu
binafsi
au
kikundi
cha
watu
katika
mambo
ya
shule
(Hoy &
Miskel
, 2001).
Slide22Umuhimu
wa
mawasiliano
.
-
huwezesha
kutoa
malengo
ya
shule
-
hufanikisha
majukumu
yanayohusu
uratibu
wa
shughuli
za
shule
-
Husaidia
kusambaza
habari
kwa
wahusika
wote
kuhusu
shule
.
-
husaidia
katika
kufanya
maamuzi
-
Humotisha
na
hushawishi
wadau
wa
elimu
kuhusu
shule
,
malengo
na
majukumu
ya
shule
yao
.
Slide235.
Vikao
vya
Wazazi
-
Vikao
ni
nguzo
muhimu
sana
katika
uendeshaji
wa
shule
.
-
Uongozi
wa
shule
unapaswa
kujua
umuhimu
wa
familia
katika
kusimamia
nidhamu
na
taaluma
shuleni
(WET, 1995).
-
Lengo
kuu
la
vikao
ni
kutoa
fursa
ya
kubadilishana
mawazo
,
kufafanua
baadhi
ya
mambo
na
kuainisha
mikakati
mbalimbali
ya
kuboresha
mazingira
ya
shule
.
Slide246.
Siku
Ya
Wazazi
(Parents’ Day)
-
huweza
kufanyika
kila
muhula
au mara2
kwa
mwaka
ili
:
i
.
Wazazi
wapate
nafasi
ya
kuizuru
shule
,
kuona
kazi
za
watoto
wao
madarasani
na
nje
ya
darasa
na
kupata
fursa
ya
kutoa
maoni
yao
panapohitajika
.
ii.
Walimu
watoe
taarifa
zao
kwa
wazazi
kuona
mbinu
zipi
zingetumika
kudumisha
nidhamu
na
kuinua
maendeleo
ya
shule
kwa
ujumla
.
Slide257.Dira, Malengo Na Madhumni Ya Shule Yawe Wazi (Shared Vision)