/
KUELEZEA  HABARI ZA  YESU KUELEZEA  HABARI ZA  YESU

KUELEZEA HABARI ZA YESU - PowerPoint Presentation

spiderslipk
spiderslipk . @spiderslipk
Follow
352 views
Uploaded On 2020-10-01

KUELEZEA HABARI ZA YESU - PPT Presentation

Somo la 11 kwa ajili Septemba 12 2020 These things I have written to you who believe in the name of the Son of God that you may know that you have eternal life and that you may continue to believe in the name of the Son of God ID: 812975

yesu kwa mungu kila kwa yesu kila mungu ili yetu wengine maisha watu yohana wetu katika kuwa hata kristo

Share:

Link:

Embed:

Download Presentation from below link

Download The PPT/PDF document "KUELEZEA HABARI ZA YESU" is the property of its rightful owner. Permission is granted to download and print the materials on this web site for personal, non-commercial use only, and to display it on your personal computer provided you do not modify the materials and that you retain all copyright notices contained in the materials. By downloading content from our website, you accept the terms of this agreement.


Presentation Transcript

Slide1

KUELEZEA HABARI ZA YESU

Somo la

11

kwa ajili

Septemba

12, 2020

Slide2

“These things I have written to you who believe in the name of the Son of God, that you may know that you have eternal life, and that you may continue to believe in the name of the Son of God

(1 John 5:13 NKJV)

Slide3

Kabla

na Baada ya YesuWale waliomshiriki YesuKukataa hasira

na

kugawa upendoKukataa uovu na kumshiriki Yesu na wengineKuelezea habari za Yesu:Uhakikisho wa WokovuKumuelezea Yesu

Tunao ujumbe wa ajabu wa kuushiriki na wengine: Neema ya Mungu ipo kwa kila mmoja, sio tu kwa watu fulani walioteuliwa. Injili ni kwa kila mmoja. Msamaha, Rehema, huruma, na Neema vipo kwa kila mmoja.Yesu hubadilisha maisha yetu kwa kutumia upendo wake, na anatuhimiza kushiriki uzoefu huu na wengine ili waweze kubadilishwa.

Slide4

KABLA NA BAADA YA YESU

“hata wakati ule tulipokuwa wafu kwa sababu ya makosa yetu; alituhuisha pamoja na Kristo; yaani, tumeokolewa kwa neema.

” (Waefeso 2:5)

Slide5

KUKATAA HASIRA NA KUGAWA UPENDO

Wapenzi ikiwa Mungu

alitupenda

sisi hivi, imetupasa na sisi kupendana

.” (1 Yohana 4:11)Watu wa kijiji cha Samaria walikataa kumpatia Yesu na mitume

wake malala pa kulala.Yakobo na Yohana walijazwa na hasira,

wakaomba ruhusa ili wakiangamize kijiji kwa moto wa

Mbinguni kam alivyofanya Eliya (2 Wafalme 1:9-15).

Hata hivyo, uhusiano wao na Yesu

ulibadilisha hisia zao.Yakobo alipoteza

maisha yake sababu ya

kumshiriki Yesu kwa wengine (Matendo 12:1-2).

Injili

na

waraka

wa

Yohana

vimejaa

upendo

kwa Mungu na kwa majirani (Yn. 13:35; 1Yn. 4:8; 2Yn. 1:6; 3Yn. 1:6-7).Hii ni nguvu ya Yesu ibadilishayo inayotenda kazi ndani yetu.

Slide6

KUKATAA UOVU NA KUMSHIRIKI YESU NA WENGINE“

Naye

alipofika ng'ambo,

katika

nchi ya Wagerasi, watu wawili

wenye pepo walikutana naye, wanatoka makaburini, wakali mno, hata mtu asiweze kuipitia njia ile[…]” (Mathayo 8:28)

Hakuna ambaye angeweza kupita katika eneo la Gadara bila kushambuliwa

na hawa watu waliopagawana pepo hatari. Yesu

na wanafunzi wake walitia nanga hapo.

Hata

hivyo

,

maisha

ya

hao

wenye

pepo,

yalibadilika

kabisa

baada

ya

kukutana

na

Yesu

.

Waliponywa kimwili, kiakili, kihisia na kiroho.

kisha, Yesu aliwataka wakaeleza habari zao kwa watu wote katika eneo hilo.Walikuwa na kisa cha kusimulia kwa sababu nguvu ya Kristo ilikuwa imebadilisha maisha yao. Wengeeleza ushuhuda wao binafsi na kuwatia moyo wengine ili wamruhusu Yesu abadilishe maisha yao.

Slide7

UHAKIKISHO WA WOKOVU“

Nimewaandikia

ninyi mambo hayo, ili

mjue

ya kuwa mna uzima wa milele,

ninyi mnaoliamini Jina la Mwana wa Mungu.” (1 Yohana 5:13)Ujumbe wa Biblia uko wazi: wale wanaomwamini Yesu wataokolewa (

Yn. 3:15, 36; 6:40, 47; Matendo

16:31; 1Yn. 5:13). Hatupaswi

kusubiri tuwe

wema vya

kutosha

ili

tuokolewe.

Wokovu

unaweza

kupotea

(

Kut

. 32:33; Mt. 10:28;

2P. 2:20-21;

Ufu

. 3:5, 11),

Lakini

hili

linaweza

kutokea

kama

tu

tutamkataa Mungu

kwa makusudi.Uhakikisho wa wokovu huimarisha ushuhuda wetu. Ni rahisi kushiriki/kueleza jambo

unalolifahamu kwa uhakika.

Daima

tafuta

fursa ya kuwatia moyo wengine ili wapokee zawadi ya uzima wa milele.

Slide8

KUMUELEZEA YESU“Basi

,

ndugu zangu, nawasihi, kwa

huruma

zake Mungu, itoeni miili yenu iwe

dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana.” (Warumi 12:1)Yesu anatuomba tumpatia kila kitu (Lk. 9:23). Lakini yeye ametupatia

nini? (see Yn. 1:12; 10:10; 14:27; 1kor. 1:30)

Tunapogundua kila

kitu Yesu alichofanya kwa ajili yetu, mwitikio

wetu wa asili ni kutoa kila

kitu kwake kwa kujikana bila kujali

gharama yake na kuwaelezea wengine

maajabu aliyotendea kwetu na kwa

ajili

yetu

.

Slide9

“Tunapaswa kuwa mashahidi wa Kristo

;

na hivi tutakuwa pale tu tunapokua kila

siku

kufikia ukamilifu wa kimo cha wanaume na wanawake

katika Kristo. Ni upendeleo wetu kukua zaidi na zaidi na kuwa kama yeye kila siku. Kisha tutapata nguvu ya kuelezea upendo wetu kwake kwa sauti ya

juu na safi, mawazo

yetu yatapanuka na

kuwa ya kina, na

hukumu zetu zitakuwa

zenye maana

na za kweli,

wakati huo

shuhuda

zetu

zitakuwa

zenye

uhai

zaidi

na za uhakikaE.G.W. (Sons and Daughters of God, March 6)